Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Shem leo umeongea ukweli toka nimeanza kukusoma humu 😹😹😹Daktari anayejua kazi yake vizuri, ana uwanja mkubwa sana wa kupata pesa nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem leo umeongea ukweli toka nimeanza kukusoma humu 😹😹😹Daktari anayejua kazi yake vizuri, ana uwanja mkubwa sana wa kupata pesa nyingi.
Duuuh aseeeh noumaaa sanaaa.Nilifanya lakin niliomba kuacha baada kufika nusu ya project
Hii kweli kabisa, wenye hii taaluma ni rahisi kutoboa.Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
TPDC wanaajiri MD, wale wanaokaa kwenye hospital za jeshi, namfahamu m1 yuko huko.Sasa BOT kwa mfano waajiri Daktari kwa kazi gani?
Ninachofahamu kila taasisi ya umma iwe serikali kuu ama halmashauri lazima kuwe na wanasheria ama wahasibu piga ua hawakosekani.
Lakini sio kila taasisi ya umma wanaajiri madaktari maana mfano TPDC wataajiri mwanasheria kwa ajili ya ushauri ama kusimamia masuala yote ya kisheria , mhasibu kwa ajili ya mahesabu na kumbukumbu za taasisi ama IT kwa ajili ya mifumo ya kieletroniki.
Mtu akiumwa anaenda hospitali ya kawaida sasa huyo MD aajiriwe TPDC kwa kazi gani?
Nimefanya kazi taasisi nyingi na kwenye kampuni binafsi ninachojua kote huko kuna wanasheria wa taasisi/kampuni lakini sijawahi kuona daktari wa kampuni.
😹😹😹Huo mshahara analipwa mgambo mwenye cheti cha form 4 pale TPA.
Kweli maisha ni timing
Hii hoja dhaifuila kwa daktari miaka 5+1 mshahara huo ni majanga
Huku Kuna watu wamesoma mambo ya biashara au administration miaka 3 wanalipwa zaidi ya hiyo
Bora upewe ban tu, huna faida yoyote katika ulimwengu huuShem leo umeongea ukweli toka nimeanza kukusoma humu 😹😹😹

😹😹😹Bora upewe ban tu, huna faida yoyote katika ulimwengu huu![]()
1.kua haujui B.O.T Wana clinics kwenye baadhi ya centre zao na wana MD hadi leo?,......je wewe sio MPUMBAVU?Sasa BOT kwa mfano waajiri Daktari kwa kazi gani?
Ninachofahamu kila taasisi ya umma iwe serikali kuu ama halmashauri lazima kuwe na wanasheria ama wahasibu piga ua hawakosekani.
Lakini sio kila taasisi ya umma wanaajiri madaktari maana mfano TPDC wataajiri mwanasheria kwa ajili ya ushauri ama kusimamia masuala yote ya kisheria , mhasibu kwa ajili ya mahesabu na kumbukumbu za taasisi ama IT kwa ajili ya mifumo ya kieletroniki.
Mtu akiumwa anaenda hospitali ya kawaida sasa huyo MD aajiriwe TPDC kwa kazi gani?
Nimefanya kazi taasisi nyingi na kwenye kampuni binafsi ninachojua kote huko kuna wanasheria wa taasisi/kampuni lakini sijawahi kuona daktari wa kampuni.
Hawa ndio wajinga/WAPUMBAVU waliojaa JF,ila hatuchoki kuwa pre-empty minds zao........Mzee Umechanganya Reply 😅😅
Sijasema mahali popote Kuwa MD au MMed Au Fellow "Super Special" (Phd) Wa Afya waajiriwe Mahali kokote Kule TRA au Taasisi nyingine soma kwanza kabla ya Kuquotes..
Kingine Hiyo slip aliyopost ni Mtumishi aliyeajiriwa Wizara ya afya na Tamisemi..
Je umepata Wasaa wa Kuangalia Walioajiriwa kwenye TAASISI kama Muhimbili, Bugando, Ocean Road na Tasisi zingine ukalinganisha pesa zao...
Maana unachofanya nikulinganisha Taasisi na Serkali za mitaa na Serkali kuu..
Ningeona Bora kama mngelinganisha MD kutoka kwenye Taasisi kama Muhimbili au MOI na Hizo taasisi zenu au NIMR na taasisi zenu
Mkuu umeongea Vyote hahahaHawa ndio wajinga/WAPUMBAVU waliojaa JF,ila hatuchoki kuwa pre-empty minds zao........
1.wasichojua huko TAMISEMI na wizara wanapowaponda MD,......na mishahara ni midogo,MD ndio ana mshahara mkubwa kuliko mtu yeyote kwenye hio taasisi😃😃😆😆,junior tu anayeanza kazi TAMISEMI anamzidi hata mwanasheria,muhasibu,I.T aliye kazini hata miaka 10
2.Wanadhani Katika mashirika ya umma hamna MD,wapo wengi sana na wanalipwa kwa "rate"kubwa kuwazidi wahasibu,wanasheria etc......waambie wapumbavu waende NIMR,NHIF,WCF,B.O.T,TANAPA etc
3.Sasa hawa WAPUMBAVU😆🤣🤣,wanakuja kulingaisha mshahara wa muhasibu wa NIMR na MD wa halmashauri,ukiwaambie tuletee salary slip ya MD wa NIMR wanaleta matusi........WAPUMBAVU nipo nao mwanzo mwisho kwenye huu Uzi
NOTE
Note mpumbavu ni mtu asiyejua(MJINGA),akajifanya anajua,akaelekezwa,akapewa facts/logic,.....vielelezo bado akajifanya anajua
Ukisikia wenzetu wanawalipa mabilioni ya pesa wachezaji, ujuwe na hizi changamoto walishazipigia hesabu😹😹😹
Zitaje hizo shortcut
Tumezungumzia pesa kiwango anachoingiza kwa mwezi, kila mtu ana akili zake, kama Mimi nilishaacha ajira maana nilishaona siwezi kutoboa kwa kupitia ajira ya serikali hii, unamlipaje mtu muhimu kama daktari 700k, au 800k? Wakati huku kitaa kwa mwez baada ya matumiz yote kabisa ikibak milion 1 tunaona hatuna kitu, usipanic mzee nitafute utajipataBora hata wewe hujaajiriwa,yupo jamaa shoga anaingiza hela zaidi ya hio pia?
Wapo watu wanakaa tu kwao,wanaweza kuununua ukoo wako wote.
Watu wengi walipenda kua madaktari,MD.
sema walifeli shule/maksi hazikutosha,wameishia kua na hasira na Kila kitu anachofanya MD
1.Unataka Kodi yote inayokusanywa nchini, itumike kulipa mishahara ya daktari,huyo daktari anayelipwa laki 8 ndio mtu anayelipwa pesa nyingi kwenye hio taasisi kuliko taaluma nyingine yeyote ileTumezungumzia pesa kiwango anachoingiza kwa mwezi, kila mtu ana akili zake, kama Mimi nilishaacha ajira maana nilishaona siwezi kutoboa kwa kupitia ajira ya serikali hii, unamlipaje mtu muhimu kama daktari 700k, au 800k? Wakati huku kitaa kwa mwez baada ya matumiz yote kabisa ikibak milion 1 tunaona hatuna kitu, usipanic mzee nitafute utajipata
Basi sitakujibu tena, mana nimeshaona WEWE BADO SANA1.Unataka Kodi yote inayokusanywa nchini, itumike kulipa mishahara ya daktari,huyo daktari anayelipwa laki 8 ndio mtu anayelipwa pesa nyingi kwenye hio taasisi kuliko taaluma nyingine yeyote ile
2.wewe uliona huwezi kutoboa kwa ajira serikalini,au sababu ni incompetent?,.......hata wabunge,wagenerali wa jeshi,RC,makimishna wa tume na wadau kibao wapo serikalini kwenye payroll,wanavuta kwa mwezi pesa ambayo ni mitaji ya watu wengi sana wanaosema wao hawawezi kaajiriwa😆😆
3.huko kitaa we nani ikibaki milioni 1 munaona hamuna kitu?,kua maisha rahisi hivyo?,wewe huyo na Hawa watu wanaogambia daladala na mwendo Kasi Kila iitwayo leo?😆😃😃
1.kwa nini hautanijibu?Basi sitakujibu tena, mana nimeshatoa WEWE BADO SANA
hilo Nemo nililoandika kwa herufi kubwa ukilozingatia litakusaidia sana
Hahahaha wasio na taaluma? Sawa nimekuelewa tuishie hapa ila WEWE BADO SANA1.kwa nini hautanijibu?
2.Mimi bado sana kwenye nini?
3.Unadhani maisha ni rahisi hivyo,ukiona nchi Daktari analipwa hela ndogo ,jua Taaluma zingine watu wapo hoi sana,na wasio na taaluma maisha ndio magumu 800%,
1.we si ulisema hautanijubu tena wewe?😆😃😃Hahahaha wasio na taaluma? Sawa nimekuelewa tuishie hapa ila WEWE BADO SANA
🤣🤣🤣 Umeona sasa! Ndio mana nakwambia WEWE BADO SANA1.we si ulisema hautanijubu tena wewe?😆😃😃
2.Unadhani maisha ni rahisi,ukiona wafanyabishara 100 jua wapo waliojaribu zaidi ya 10000 walifeli hio biashara
3.Iko wazi watu wasio na taaluma yeyote ile wana maisha magumu mno,unadhani hata hizo biashara zinafanywa na WAPUMBAVU?
4.Maisha sio raisi hivyo,kiasi ufeli masomo magumu ya PCB,ushindwe kujiunga na MD baasi tu uamini tayari umeshakua mfanyabiashara