Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Ondoa umasikini kwenu kwanza,kwa wazazi wako na ndugu zako ndo uje na hizo ngojera zako hapa,wewe mwenyewe hapo unanuka umasikini harafu unakuja na hadithi za kipuuzi hapa.

Nyie ndo vijana wa hovyo.watu wanawaza namna ya kuanzisha technologia mpya duniani wewe unawaza namna ya kumfurahisha mwanamke ,

Pumbavu kabisa
 
Endelea kuwadanganya wenzako kwamba pesa ndiyo kila kitu, kama haujapendwa hata ukitoa pesa sana, utaonekana mlipa bills tu penzi ataenda kupewa bodaboda anayependwa[emoji3][emoji3][emoji2088]
Daah aisee.

Kwhy tufanyeje sasa?
 
........sawa mkuu tutajitahidi kununua mahusiano, nilikuwa sifahamu kuwa ni biashara, nimechelewa sana!!.......
 
Hii password hii niliitumia kitambo Sana. Kuna siku nilimuita mrembo samaki samaki mlimani city enzi za ShopRite. Alipofika nikampa a hundred thou nikamwambia afanye shopping ShopRite Mimi namalizia beer yangu. Fasta binti alizama ndani, na alitoka akiwa na zile lambalamba tu. Nikamwambia tusogee Calabash tule mbuzi choma ya viwango, nikamwambia aagize kinywaji chake, Kama kawaida aliagiza Kama sio St Anne Basi Ni amarula, sikumbuki maana Mimi vitu vidogo vidogo siangalii. Muda uliposogea tukaita ubber enzi zile , mwelekeo wa Johannesburg Sinza. Kwa kweli sikumuambia tunakwenda kufanya nini Ila binti alikua tayari kwa lolote. Basi binti kanisusia mzigo Ile wanasemaga chukua yote. (Sio ule ujinga wa wamakonde eti wabakizie wenzako). Tukipotoka nikampa another hundred thou ya taxi.
Kesho yake Sasa. Ni msg tamtam tu. Nikambamiza na fifty ya voucher asimuwaze MTU mwingine.
Safi
 
Ukiwa na hela hawa warembo unaenjoy nao sana yaani unakuta mbususu ilishalowa kitamboo wee ni kuteleza tuuu
 
Jiandaeni kwa comments za kuonesha watu wanawapa sana hela wapenzi wao 😁pia mademu watasapoti sana hii mada

Akili kumkichwa

Wanaotoa sana hela hawapigi kelele wala kuanzisha mada na wanaopewa Hela huwezi ona wanapiga kelele
 
Back
Top Bottom