Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

Umepiga kwenye mshono wa apendix.
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
 
Basi mimi niko nyuma kwenye hiyo password mkuu. Ngoja nirudie kusoma kinyume nyume au kisiasa siasa au kimbeambea
Password haipo kwenye alichoandika yeye, ipo kwenye comment niliyom quote Mimi.
 
Kuna siku nimetoka job, kabla ya kwenda kitunda nikapaki pale banana kwenye bar nyingi nyingi. Nikamkuta bar meidi mmoja amekaa kinyonge, nikamwambia niletee castle lite baridi na wewe chukua kinywaji unachotaka, nikamwambia amwambie MTU wa jikoni aniletee mchemsho wa kuku na yeye aagize anachotaka, kaagiza kuku nusu muchomo. Nikaagiza castle lite nyingine na yeye nikamwambia aongeze ya kwake. Nikamaliza mchemsho wangu na kulipa. Sijafika kwenye gari huyuhapa. Kaniambia, Kaka umesahau kuchukua namba ya simu, nikamwambia usihofu kesho nakuja hapa hapa. Kesho yake kweli nikafika na lile zoezi likaendelea, yaani binti anataka kunipa namba yake lkn najifanyisha Niko bize na gazeti. Ile nataka kuondoka binti ananiambia kesho Niko off. Nikamwambia nitakua maeneo haya haya. Mimi huyo Kimara.
 
Hii password hii niliitumia kitambo Sana. Kuna siku nilimuita mrembo samaki samaki mlimani city enzi za ShopRite. Alipofika nikampa a hundred thou nikamwambia afanye shopping ShopRite Mimi namalizia beer yangu. Fasta binti alizama ndani, na alitoka akiwa na zile lambalamba tu. Nikamwambia tusogee Calabash tule mbuzi choma ya viwango, nikamwambia aagize kinywaji chake, Kama kawaida aliagiza Kama sio St Anne Basi Ni amarula, sikumbuki maana Mimi vitu vidogo vidogo siangalii. Muda uliposogea tukaita ubber enzi zile , mwelekeo wa Johannesburg Sinza. Kwa kweli sikumuambia tunakwenda kufanya nini Ila binti alikua tayari kwa lolote. Basi binti kanisusia mzigo Ile wanasemaga chukua yote. (Sio ule ujinga wa wamakonde eti wabakizie wenzako). Tukipotoka nikampa another hundred thou ya taxi.
Kesho yake Sasa. Ni msg tamtam tu. Nikambamiza na fifty ya voucher asimuwaze MTU mwingine.
chai
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Huwa nikilielewa lishangazi nafunga biashara kwa 50 au laki,naliachia no zng wiki ni nyingi lazima nipewe mbususu
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Ivi nani kakuita bei elekezi ..... kwahiyo hata hiyo penzi unawekea bei elekezi?
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Hii password ya kutumaa hela bila kuobwa ni uoga aisee.[emoji16][emoji16][emoji16] wewe bado ni mchanga sana kwenye haya mambo.

Kuanzia leo shika hii penda kujua location zao wanazo penda kwenda kupiga picha kwa ajiri ya ya kupost Instagram tu. Niamini mm gharama zako zitakua ni mafuta tu ya kwenda huko. Na hapa ukiwa mbunifu wa location nyingi nyingi basi ndio mara idadi utakayo MLA huyo manzi.
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.

Sanamu lako tujenge wapi [emoji3]
 
Sawa na ukimwi unakufata
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Labda nisipate roboti used
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.

Mzee Umechelewa Kuwajua Watoto wazuri! Kaa kwa Kutulia !! Afu mwenye kuhonga vzur aongei sana’
 
Back
Top Bottom