Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

Hamna kitu hapo, mtoa maada umeandika mavi matupu..

mimi situmii pesa na nina kula watoto wakali wenye shape na wa kishua
 
ye34nbe njoo u dislike masta , hata saa mbovu inasemaga ukweli mara Kwa siku
 
Wanawake hawaridhiki .... anyway hiyo ndo mbinu ya kula demu yeyot yule ulimwenguni bt keep in mind haifanyi kaz kwenye kutafuta true luv besides utakufa na kisukari ukilazmisha
 
Kiwango kikubwa cha kuwaza ujinga pale unapojifanya kuwafaham wanawake ambao watu kama kina Elon musk wameona mwanamke kashindikana wameamua kuunda wa kidigital
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Kwenye katiba mpya na hili liwepo
 
Wewe umeongea ukweli ,Pesa Pesa Pesa!
 
Mbona wanawake/madem wasiohitaji mbwembwe zote hizo wapo na ni classic tuuu
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini[emoji26]

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
We mdada huwezi kutushauri wanaume jinsi ya kuwapata, tuna mbinu zetu tunazijua
 
Back
Top Bottom