Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

😀😀😀😀😀watapita kama hawaon
Ahahaha tunaona vizur sema huyu kwenye chama chetu bado entry level..hii inahusisha illusions ana imagination about relationship...kuna stages na department nying bado haja qualify kuingia hapa idarani.... atakapo fuzu anaweza kuwa na sifa za kukabidhiwa kitengo like dronedrake
 
Mnajipa moyo
 
Hakuna cha hela wala nn, password ya mapenzi ni MANENO tu, mtoto anaingia kapuni mambo ya hela wameshapitwa na wakati asaivi ni kuteka moyo tu kwa maneno matamu mtoto anashiba anabweteka na analipuka mwisho wa siku simple tu.

#SWAGAZ TU
 
Wanajikausha kabisa
Ahahahah hatujikaushi ila utoto bado unamsumbua..Ni kama zile imaginations tulizokua nazo zaman tukiwa na utoto kwamba nikimaliza shule naanza kazi..baada ya mwaka najenga nyumba...nikimaliza miaka miwil naoa. N.k n.k😂😂😂
 
Ahahaha tunaona vizur sema huyu kwenye chama chetu bado entry level..hii inahusisha illusions ana imagination about relationship...kuna stages na department nying bado haja qualify kuingia hapa idarani.... atakapo fuzu anaweza kuwa na sifa za kukabidhiwa kitengo like dronedrake
Wanawake wazuri wanapaswa kulindwa na pesa.
 
Nakubaliana 100% na wewe.. mwanaume mwenye akili analijua hil lakin hatutoi toi tuuu kisa zipo na kisa ni mwanamke...**** mchakato wa assesment lazima apitishwe na afuzu..

Hatuwekez kujenga ghorofa kwenye uwanja wa familia tena wenye mgogoro
 
Hakuna cha hela wala nn, password ya mapenzi ni MANENO tu, mtoto anaingia kapuni mambo ya hela wameshapitwa na wakati asaivi ni kuteka moyo tu kwa maneno matamu mtoto anashiba anabweteka na analipuka mwisho wa siku simple tu.

#SWAGAZ TU
Mtoto mzuri anakula swagaz,anasuka na swagaz?anapaka swagaz?chukua notes acha ukaidi
 
Ipo hivi penzi ukiwa n pesa linanoga zaidi ila uwe mjanja jinsi ya kumpa na si kila wakati, yule ambae una malengo nae usimpe nyingi za kuspend mpe nyingi za kuweka akiba, usie na malengo nae mpe nyingi ukila mbususu stop
 
Read between the lines mkuu.

Sio kila kilichoandikwa, kina tafsiri unayoiona hapo.
Basi mimi niko nyuma kwenye hiyo password mkuu. Ngoja nirudie kusoma kinyume nyume au kisiasa siasa au kimbeambea
 
Back
Top Bottom