Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Vitabu vyote nadhani hili havijaliweka sawa hasa vikiwemo Biblia na Msahafu na hata Katiba ya taifa hili... ila kwa muujibu wa katiba ya wahuni kifungu no;6(a) ya mwaka 2023 Inasema "mshikaji anapoomba namba akapewa baada ya nusu saa anatakiwa awe ashamaliza jukumu zima la utongozaji na ikitokea amekubaliwa basi asilaze damu na aombe gemu(game) kabla jua halijazama awe ametimiza lengo lake(kuzagamuana) na kama ikiwa kinyume cha hapo huyo mjuba atakuwa ni dhaifu na hata akimuoa huyo manzi hawataa wadumu kwenye ndoa nkt.
 
kha!
kweli wahuni 8:2
 
Jinsi mnavyojiuza unajisumbua tuu kujifanya hutoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…