Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
Basi utaendelea kulizwa sababu hujielewiHata sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi utaendelea kulizwa sababu hujielewiHata sijui
HudumaMuamala gan
😂😂😂Utachomwa na gesi
Mwanaume anapaswa kujiamini sio unakuwa kama mtoto wa kiumeUmejaa woga na mashaka
Uje Kwa Yesu upate imani kwanza
Una kitu utafik mbaliHaina formula.. kama ni wa kukaa atakaa no matter umempa siku hiyo hiyo, kama ni wa kukimbia no matter umemzungusha mwaka atakimbia tu. Fanya mapenzi kwa furaha yako
Nampea chap kwa harakaKwahiyo unafanyaje?
Kwakweli mm mke wangu tulipeana siku hiyohiyo na ndo tumeclick mpaks sasa mwaka 6 watoto wawili,issue naona ni vibe tu haijalishi mmezungishana au mmepeana haphapo,Naulizwa
Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?
Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?
Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Ndo maamuzi hayo sasaNampea chap kwa haraka
Mpaka atoe mahari.Naulizwa
Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?
Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?
Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Kemea ilo pepo naona kuna roho za kutokuolewa zinakufatiliaMpaka atoe mahari.
Hapana,Mimi huwa nakemea pepo la uasherati.Kemea ilo pepo naona kuna roho za kutokuolewa zinakufatilia
Sali sana msichana
Hili ndio jibu thread ifungwe
akiwa sealed ndio unampa miezi 6?
Mi kucheleweshwa huwa sitaki kabisa [emoji855]
😂😂😂KhaaMiezi sita imekua interview ya visa ubalozini.
Tumalizane leo leo. Tomorrow isn’t promised
Subili akuoe ndy ulale nayeNaulizwa
Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?
Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?
Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Unasubiri Huku jamaa mwingine akipiga simu moja tu demu anazama ghetto!😂😂😂Khaa
Inategemea lknUnasubiri Huku jamaa mwingine akipiga simu moja tu demu anazama ghetto!
Unabaki kuwa Mpenzi mtazamaji