Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Naulizwa

Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?

Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?

Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Kwakweli mm mke wangu tulipeana siku hiyohiyo na ndo tumeclick mpaks sasa mwaka 6 watoto wawili,issue naona ni vibe tu haijalishi mmezungishana au mmepeana haphapo,

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom