Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Inategemea mmekutana lini kama.mmekutana week day unampa.wrek end na kama mmekutana week end utampa.next week end mi nilikutana nae week end akaja akanipa next week end hadi leo tupo pamoja mwaka wa 6 sasa
 
Du
Hio ilikuwa mwaka gan?
 
Inategemea mlipokutana;
1. Kwenye bata isizidi, 3 Hours
2. Ukimpa lift 12 hours inatakiwa iwe imeenda
3. Kwenye mwendo kasi/ daladala, 1 day
4. Kanisani siku mbili, assumption u met on sunday J5 ready for consumption!
 
Hii NI season ya ngan unaongelea
 
Ukimbania wewe kipindi hicho cha kumbania utakuwa unakidhije haja yako ya kimwili [emoji23]
 
Uamuzi huo hauwezi kuwa sawa kwa kila mtu utaamua mwenyewe kadri unavyoona inafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…