Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Naulizwa

Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?

Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?

Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Manepini unapenda sana kuzagamuana asilimia 99 ya nyuzi zako unaongelea mizagsmuo tu
 
Back
Top Bottom