Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Inawezekama upo sahihi kwa kiasi kikubwa.
Nimeshangaa tu hiyo teaching technic ya kuwakalisha chini kwenye udongo, wanarudi nyumbani wamechafuka ukute hakuna sabuni wala maji ya kufulia nguo. Siku nyingine angalau wawakalishe kwenye majani.
Bado umasikini upo pale pale. Huyo mwalimu na yeye amekaa chini kwenye udongo?
 
hili la shift za mchana nadhani lipo kila shule za mjini, na sidhani kama ni tatizo, kuhusu kukaa chini nadhani ni katika kuwaweka watoto salama, wangepaswa kuwa uwanjani wakicheza lakini kwa muda huo nadhani wanazingatia usalama wa watoto na pia kuwa control wasizagae hovyo ukizingatia kuna taharuki ya bwatoto kupotea
 
Uko sahihi.
Kumbe tunakubaliana kuwa madarasa hayatoshi kulingana na idadi kubwa ya watoto?
 
Ni vigumu Mtoto kuconcentrate na masomo ktk mazingira hayo.
sidhani hapo walikuwa wanasoma, sie tulikaa chini ya miembe wakati wa joto hasa mchana na tulikuwa tunaimba nyimbobau kusikiliza mawaidha ya mwalimu, na tulikuwa tukielewa na,ungumzia mazingira niliyopitia kama hukupitia sidhani kama utakuwa na mtizamo kama wangu
 
Samia aache mchezo wa kuchezea pesa.
hanan huruma kabisa. Hivi /TISS, CDF, IGP, VIONGOZI WA DINI (siyo wale wa ubwabwa na wa miujiza), na wengine wa hivyo hamwambii kuwa mama hii kitu si kizuri, watu wanalalamika kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha! kwa upole tu na urafiki na mama
 
kwanza hii picha ni ya lini? wapi? unaamini hapo walikuwa wanasoma darasani? au mtu kaamua kuwadhalilisha kwa sababu anazozijua yeye, au ujinga wake tu! haingii akilini katika mazingira haya watoto walikuwa wanasoma
Ikibainika kuwa hiyo picha ni ya kweli?! Uta spin vipi au utalikimbia jukwaa kwa leo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…