Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

SIYO AKILI MUAFAKA KUFANYA HIVI ENZI YA COMPUTER TODAY! The world is moving to AI, wewe unaleta habari ya kukaa chini kweli? Does that make sense?
Hasira zake za kushindwa kutatua matatizo yanayomkabili anajaribu kuzisambaza duniani pote. Hafikirii kwamba anajidharaulisha yeye na jamaa zake wote.
 
Acha kutetea ujinga ilihali ukweli unaujua..
 
SIYO AKILI MUAFAKA KUFANYA HIVI ENZI YA COMPUTER TODAY! The world is moving to AI, wewe unaleta habari ya kukaa chini kweli? Does that make sense?
Me siyo mwalimu siwezi kutolea ufafanuzi wakitaalamu ila na wewe hata ukipita maeneo ya shule za watoto wadogo, hata hizi za bei kubwa chunguza utaona Kuna sehemu kabisa wameweka mchanga kwa ajili ya watoto kucheza na kuwafundishia.
Tungepata mwalimu wa watoto wadogo angelifafanua vizuri.
 
Simba na Yanga kwa uwepo wao wanagusa maisha ya watu wengi sana. Kuna mzunguko mkubwa wa pesa unaokuwepo katika shughuli zote za watani wa jadi.

Masuala ya kiuchumi yanashughulikiwa pia. Sekta zote zinashughulikiwa hakuna iliyosahauliwa.

Kumbuka kuwa Yanga na Simba wananunua wachezaji wa kigeni wanaolipa kodi na wanakatiwa vibali vya kufanya kazi, pia wanapangisha nyumba katika maeneo ya Mbezi Beach, Msasani na Mikocheni tena wanaishi maisha ghali na huo ni mzunguko mkubwa wa pesa wanaouleta kila wanaponunuliwa na timu hizi mbili.

Tujifunze kuwa na mitazamo chanya kwenye kila tunachokiona mbele ya macho yetu kuliko kuishi na zile akili zenye kwenda sambamba na sura zilizonuna pamoja na kutokwa mapovu midomoni.
 
hata hizi za bei kubwa
Perfect! lakini hawa wana madarasa fully equiped! Ukiona wametoka nje ni kucheza. hawa ni wakubwa siyo wa kuchezea michanga!
Nilikuwa Sweden, virtually sehemu zote za makazi ya watu zimekuwa cemented (nilipokuwa nakaa at least). Sasa unafanyaje ili mtoto angalau achezee udongo? Walikuwa wanatafuta mabox ya mbao makubwa wanaweka udongo mtoto anachezea humo! Sasa unataka kusema tumefikia hapo rafiki? Hapana tunahitaji madawati!
 
Umeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
Katika kila picha moja au mbili za aina hiyo kuna picha nyingine mia moja au mia mbili zenye afadhali kuliko hizo.

Huyu mleta mada hajajihangaisha kuzitafuta hizo picha nzuri kwa sababu akili yake inawaza kitanzania zaidi, malalamiko na kunyooshea wengine vidole huku akiusahau wajibu wake binafsi.
 
Samia aache mchezo wa kuchezea pesa.
Sio samia tu... Haya mambo yapo tangu enzi na enzi za waliopita, hata raia na wenyewe wanastahili lawama.

Nchi ina matajiri wangapi hii? Wanashindwa kujiongeza?!
 
Bado una point mfu.
Nchi yenye rasilimali lukuki inasubiri majanga ya ulimwengu kama COVID 19 ndipo inenge vyoo vya shule na madarasa kwa pesa za msaada.
Huoni tatizo hapo
hizi hela zilitoka world bank ni michango yetu, its not a free lunch
 
Wanayoyafanya hayo maunyama na maukatili wana Maisha mazuri mno! Watoto wao wanaishi kama wapo peponi aisee!
 
Sawa mkuu
 
Lucas Mwashambwa umeona juhudi ya samia amejenga shule hadi vijijini watu wanakalia viti vya matofali
Usimchimbe Luka... Luka ana koneksheni mwenzako, halafu jamaa ni Baba paroko. Yaani hana demu, hana mke na hamjui mwanamke... (Luka ni bikra) Badala ujipendekeze uwe demu wake, umuonjeshe luka asali anogewe akuoe kabisa na wewe uwe richi waifu unamchimba.

Haya usiseme hatukukuambia

Lucas Mwashambwa mchumba huyo... Sema nae, mtunuku makoneksheni mtoto awe richi gelofrendi 😁👍
 
Wenye shida ni wazazi kuamini hapa Kuna kujifunza. Mimi namtoa mtoto shule kwa mazingira haya. Anyway mtaji wa chama pendwa ni umaskini
Mkuu unamtoa alafu unampeleka wapi?

Hapo ndio shule inayopatikana hakuna mbadala
 
Mie nasemaga km ww mpambanaji unatafta hela watt wako wasomeshe vzuri sana watakuja kukusaidia ila ucwasomeshe shule za kata ni utapeli
wakapeleke huko academia wakilawitiwa utuletee mrejesho
 
nakwambia muuliza mama yako, ananijua sana tena sana. wewe huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia, baba yako ni mimi! FULL STOP!
Hujawahi kupata bahati japo kusimamisha tu. Nakujua vizr sn ww ni khanithi tu ila huishi kujishaua mitaani eti umezaa na fulani mara fulani.
Nakuhakikishia siku ukifanikiwa japo kudindisha tu nakupa shoga ujilioizie na ww mana umegeuzwa miaka mingi sana mpk ushakuwa mtoto si riziki tena. Ila wajitahidi sn kujifariji kuwa eti na ww ni Mwanaume
 
Ni kawaida ya binadamu (hulka)kupambana na 'hali mbaya'...hali ikishakuwa njema/nafuu sio habari tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…