Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

Lucas Mwashamba aje kutolea ufafafanuzi huku akibubujikwa na machozi kwa furaha..
 
Wazazi wao wanalipa kodi na serikali ndiye anayepaswa kuhakikisha kodi zao zinatumika kwa ajili ya wananchi wote na si baadhi ya watu.
Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kitu
 
Kuchangia sio shida ila naona raisi kama anataka kuchangia hela awe anatoa kwenye mshahara wake na si kodi zetu
 
Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kitu
Kumbe nawe ni wale wale msiojua uhalisia wa mambo yalivyo.
Pole sana kwa kwenda shule kusomea ujinga (kama ulienda) au kwa kuwa na uelewa finyu.
 
Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kitu
Kuna watu akili hamna kabisa,
Unajua kodi ya bidhaa anailipa nani? Au unajua kufanya return ndo kulipa kodi
 
Mbona siwaoni wale wanaitwa machawa wakija hapa kujenga hoja za nguvu, kutetea hoja ya kuzawadia vilabu?
 
Uwekezaji huu ni WA namna gani?
Izo pesa zingekuwa zinaenda kujenga vituo vya michezo isingekuwa shida Yani wabongo bwana kila siku tunaimba timu zetu hasa za taifa hatifanyi vzr kwasababu hatuwekezi lkn sasa tunafurahia hili kinachotokea
?
 
Aache au afanye Mambo ya sport si kwamba changamoto zingine zitaisha we kill all birds,we let them sought out as per their preference! Michezo,barabara na madawati vyote tunavitaka hatuwezi sema kwakuwa madawati hatuna basi usichimbe visima
 
Usimlaumu huyo mama wakulaumiwa ni kundi kubwa la watanzania lililopo nchi hii ambalo Asilimia Zaid ya 80 ni wajinga na malofa wasiojua kufikiria vilivyo chanya na hasi ndo maana tutaendelea kuburuzwa na wanasiasa mpaka siku ya kiama
 
Wenye navyo waongezewe wasio navyo wameze mate.kila mtu apambane na hali yake
 
Mpira ni biashara. Serikali inaingiza kodi kubwa sana kutoka kwenye mpira. Lazina kuu promote mpira kwa namna yeyote ile. Ajira ya watu ile pia. Kiufupi serikali inapata zaidi kuliko hizo mil 30 inazotoa.
NB: Hiyo fedha yaweza pia isiwe kodi yetu. Kupata mil 100 mama anapiga simu moja tu tajiri mmoja anapata hizo hela.
 
Mapoyoyo wa wapi huko wanafunzi wanakaa chini kwa sababu ya madawati?
 
Mapoyoyo wa wapi huko wanafunzi wanakaa chini kwa sababu ya madawati?
Wazazi wao wanatumia fedha kwa ulevi, kuchangia harusi na kubeti hawataki kuchangia madawati.Leo wanaona mama anatoa fedha yake kidogo kuitangaza sekta ya michezo ilete faida zaidi eti roho zinataka kuwatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…