Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yako bado una safari ndefu sana kwasababu hujui na haujui kwamba haujuiDaaaah!!!
Una shida kubwa sana ya uelewa.
Mungu akusaidie ubadilike.
Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kituWazazi wao wanalipa kodi na serikali ndiye anayepaswa kuhakikisha kodi zao zinatumika kwa ajili ya wananchi wote na si baadhi ya watu.
Kumbe nawe ni wale wale msiojua uhalisia wa mambo yalivyo.Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kitu
Kama ana biashara ni ipi,Mm nachotaka kujua hizi pesa ni hizi hizi nazolipa Kodi Mimi au zinatoka kwenye mfuko wake?
Kuna watu akili hamna kabisa,Wacha akili za ujinga Tanzania walipa kodi ni 15% tu wengine wqnapata free ride. Haiwezekani mzazi ushindwe kutengeneza dawadi kwa mwanao alikalie miaka 7 wakati ashalipiwa kila kitu
?Kama mwingine anavyoona mpira umewaneemesha wenye hivyo vipaji vya mpira wa miguu ambao bila mpira labda wasingekuwa na ajira,ukitafuta ubaya au wema Kwa mtu Kwa nguvu zote huwezi kuukosa! Serikali ndio inajua return kwa kuwekea kwenye michezo kama we unavyoona Bora tukose madawati na michezo pia kuna mwingine anaona busara ni walau tupate kimoja!
Aache au afanye Mambo ya sport si kwamba changamoto zingine zitaisha we kill all birds,we let them sought out as per their preference! Michezo,barabara na madawati vyote tunavitaka hatuwezi sema kwakuwa madawati hatuna basi usichimbe visimaUwekezaji huu ni WA namna gani?
Izo pesa zingekuwa zinaenda kujenga vituo vya michezo isingekuwa shida Yani wabongo bwana kila siku tunaimba timu zetu hasa za taifa hatifanyi vzr kwasababu hatuwekezi lkn sasa tunafurahia hili kinachotokea
?
Usimlaumu huyo mama wakulaumiwa ni kundi kubwa la watanzania lililopo nchi hii ambalo Asilimia Zaid ya 80 ni wajinga na malofa wasiojua kufikiria vilivyo chanya na hasi ndo maana tutaendelea kuburuzwa na wanasiasa mpaka siku ya kiamaThis is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Umesoma kingereza kea Ras Simba na weee unajikuta unajua kingereza. Hii nchi wajinga ni wengi aisekwenye kiingereza hakuna kitu inaitwa milions of money, rudi la tano b ukasome.
Mkuu unaonaje tukiungana tumpeleke mahakamani huyo maza!!Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
ras simba ndo nani huko daslam?Umesoma kingereza kea Ras Simba na weee unajikuta unajua kingereza. Hii nchi wajinga ni wengi aiseView attachment 3079142
Mapoyoyo wa wapi huko wanafunzi wanakaa chini kwa sababu ya madawati?This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Wazazi wao wanatumia fedha kwa ulevi, kuchangia harusi na kubeti hawataki kuchangia madawati.Leo wanaona mama anatoa fedha yake kidogo kuitangaza sekta ya michezo ilete faida zaidi eti roho zinataka kuwatoka.Mapoyoyo wa wapi huko wanafunzi wanakaa chini kwa sababu ya madawati?