Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

Ndio mishahara wanayo na io pia ni motisha kwani mshahara si ni kazi yao kwaio hutaki wapate motisha
motsha ya nn ilhal daaaaah aiseee kichwa kscho na akil n mzgo kwa shingo
we navokuona utakua n chawa wewe alaf sis tunaongelea pesa hzo na hal hals ya maisha ya akina sisi au.ww una maendeleo ndo mana huon
fkilia watoto wako wewe wangekua kama akina sisi nazan ungeelewa
 
Mwisho wa siku hizi hela tunazirudisha kwenye jamii kwa charity programs. Kinachoniboa ni Yanga kugeuzwa asset ya ccm kupatia umaarufu.
 
Wabongo kila kitu kulala mika....ongeeni kwenye sanduku la kura
 
Akili huna au pengine zimeganda then kama unaona ni chama cha mambumbumbu richa ya jitihada za Mh Rais kuhamasisha michezo basi wewe utakuwa na matatizo yako binafsi
Huwa nikiona mtu anaandika hovyo kama wewe uliyeandika neno "richa" badala ya "licha", najua ni ama shule alienda kusomea ujinga, au ni kilaza wa asili.

Michezo inahamasishwaje kwa kutoa milioni 5 kwa goli kwa timu 4 za mpira wa miguu!!??

Tuna sera gani za kutafuta vipaji kwa watoto na kuviendeleza!!???

Nikiandika kuwa hicho chama ni cha mambumbumbu namaanisha kuwa, pamoja na kumiliki viwanja vingi na rasilimali fedha, lakini wameshindwa kuwa nq uwanja hata mmoja wenye hadhi kama walivyofanya Halmashauri ya Kinondoni kwa muda mfupi.
 
Pole yako unalazimisha kua mjinga ilihali una nafasi ya kuelewa
 
Wazazi wao wanalipa kodi na serikali ndiye anayepaswa kuhakikisha kodi zao zinatumika kwa ajili ya wananchi wote na si baadhi ya watu.
Serikali haiwezi kufanya kila kitu wakati mwingine mwananchi jiongeze kumtengenezea mwanao dawati angalau na wewe uwe umechangia maendeleo ya nchi ata hivyo serikali inajukumu la kuhakikisha sekta zote zinakua kwaio sio vibaya ikikuza na sekta ya michezo
 
Huna uwezo wa kuelewa hoja zangu.
Jumapili njema.
Kwa hoja gani uliyo nayo wewe hapo zaidi ya mihemko na ile kujidai unapinga serikali alafu kwa akili zako unazani eti ukipinga serikali ndio utaonekana muelewa kumbe zero brain tu sio kila kitu ni cha kupinga
 
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.

Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.

Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama

Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Jana nilikuwa na stress Mimi ni mwana.sina timu lakini zile goli Sita zilivotiwa kambani stress zikaisha nikajukuta mzalendo Mpira ni therapy isiyo hatari kwa.mhusika unless ajichanganye,Pesa inayoibwa na mafisadi wa idara za fedha na taasisi zake ni kubwa mno,Kodi zetu usitupangie tuitumiaje,watu wazuiwa bangi,shisha,Miraa,ukabaki, na pesa hakuna,sasa kufurahisha kidogo unaowapiga na vitu vizito kila.siku na no ishi,hapana Bora haya matumizi ya tomorrow zo zetu tuyaone.hata kwa burudani,nenda kajifungie chumbani siku sita kama hujaita mma.
 
Ikifika siku ya kura unaenda kupiga vile vile kwenye utopolo ule ule
 
Serikali haiwezi kufanya kila kitu wakati mwingine mwananchi jiongeze kumtengenezea mwanao dawati angalau na wewe uwe umechangia maendeleo ya nchi ata hivyo serikali inajukumu la kuhakikisha sekta zote zinakua kwaio sio vibaya ikikuza na sekta ya michezo
Daaaah!!!
Una shida kubwa sana ya uelewa.
Mungu akusaidie ubadilike.
 
Kwa hoja gani uliyo nayo wewe hapo zaidi ya mihemko na ile kujidai unapinga serikali alafu kwa akili zako unazani eti ukipinga serikali ndio utaonekana muelewa kumbe zero brain tu sio kila kitu ni cha kupinga
Daaaah!!!
Kweli mtaji wa chama cha mambuzi ni ujinga.
 
Back
Top Bottom