Ugwanzee
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 137
- 225
motsha ya nn ilhal daaaaah aiseee kichwa kscho na akil n mzgo kwa shingoNdio mishahara wanayo na io pia ni motisha kwani mshahara si ni kazi yao kwaio hutaki wapate motisha
we navokuona utakua n chawa wewe alaf sis tunaongelea pesa hzo na hal hals ya maisha ya akina sisi au.ww una maendeleo ndo mana huon
fkilia watoto wako wewe wangekua kama akina sisi nazan ungeelewa