Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

Hawana akili hao,huwezi kushindana na serikali
 
Facts, ni bora kuachilia mbali. Mambo ya kuonesha patriotism na uzalendo tuliwaachia Nyerere na Magufuli.
Thats whats wrong na hiki kizazi, by hii kauli its self simple una allow kikundi kichache cha watu kufaidi mema, wakati ww and maybe kizaz chako waendelea kuwa wanyonge tu. Mpaka lini? Do you think nyerere akiamka leo atafurahia hali hii ya vijana wa sasa?
 
Upinzani wa kweli ni kutia mbadala wa kile unachokosoa!

Mfano ishu ya sukari haifai kuagizwa nje tuna uwezo wa kuzalisha wenyewe kwani huko wanapoitoa sukari kuna miungu!!! hadi sisi kila siku tuende kwao!!?

Jkt plus magereza wanafanya nini!!?

Viwanda cya sukari tunashindwa kuendesha!!?
 
Tunakufa mara moja tu mkuu,sio shida hata kidogo.Halafuu,mbona hatushi milele,we will eventually die,so why worry.

Kwa kumalizia niseme hivi,madhila ya Wakenya ndiyo yetu Watanzania,so what are we waiting for, let us take action now,kama Wakenya wameweza,we also can.
 
Kila mtu akifikiri hivi, hata wewe usingepata nafasi ya kutoa maoni yako hayo.

Wewe umepata nafasi hii kwa sababu kuna watu wengi sana wamekupigania.
 
Mkuu unazungunzia upinzani upi? Ule wa Kutukana watu au upinzani wa kurekebisha mafisadi?

Maana nyie vijana zenu ni mawazo ya ngono, pombe, mpira na kubeti tu.
 
BWANA YESU KRISTO Mwana wa MUNGU alisema hivi;
"kabla ya kwenda vitani, hesabu gharama kwanza, jiulize adui yako ana silaha gani, ana askari wangapi, ana uwezo kifedha kiasi gani na mbinu zake za kivita ni zipi. Ukiona unamzidi adui yako kwa kila kitu basi nenda vitani kapigane naye.

Lakini ukiona adui yako anakuzidi kwa kila kitu, basi usiende vitani, badala yake nenda kwa adui yako kwa ajili ya kutafuta amani na suluhisho.

Hesabu gharama kwanza kabla ya kufanya chochote kile.

Unaanza kuitukana Serikali kabla ya kuipima gharama kama unao uwezo wa kushindana nayo. Ooh shauri yako, utanyofolewa "mbupu".
 
Mm nadhani kama unaona kwa namna yoyote ile hakuna kiongozi yeyote awe wa ccm au vyama pinzani atakayeshiriki nawe kumega keki ya taifa, aisee n bora uwe mpole tuu mana hapa bongo utaumizwa afu wale waliokuwa wanakupa sapoti watakukimbia.
Mchuma janga hula na nduguze
Sisi tutapiga kelele mtandaoni ila ww na familia yako ndio mnateseka
Naonaga ni ujinga kufanya siasa za ubabe mtandaoni
 
Acha uongo yesu wa manzese huyo.
 
Acha ujinga wewe,Daudi alipokwenda kupigana na Goliati angehesabu gharama angem-confront.Daudi alimuamini Mungu,na hiyo ikawa ndio nguvu yake.Sisi nguvu yetu kama Wananchi ni MUNGU.
 
Kenya wamekufa 200+. Siku yoyote move ya kutoa Serikali iliyo madarakani hasa kwa nchi zinazoendelea ni kazi sana, na ni lazima wengine wafe.
Usisahau hata kupigania uhuru watu wengi walikufa ili baadae lengo nilitumia. Kufanikiwa katika lolote kubwa, lazima ukomae vilivyo.
 
Huwa mara nyingi Permanides sikubali mawazo yako,lakini leo nimekukubali.Asante kwa kutambua ukweli huu.
 
Eti nife kwa ajili ya matz ambayo mengi hayajielewi kama ya hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…