Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

Ni kweli kabisa,nimewaasa Vijana kwmaba Upinzani ni Ligi Sasa huna uwezo wa kushindana unashindanaje? Maana Unaaeza.kuwa defeated Kwa hasara na mateso makubwa ukajuta mazima.

Ukraine anapambana Kwa sababu ana support,kama huna usifanye kuwa tuu mnyonge
 
Kweli kama yule dogo wa Twitter ukiingiza kwenye account yake mda wote anatukana watu matusi ya guioni kuanzia viongozi Hadi watu binafsi na alikuwa eti anahimiza wafanyabiashara Kugoma na kusambaza vipeperushi wakati akijua anakosea na sheria zinakana Hilo.
 
Tulia wewe!! acha kila mwanadamu afanye analoona kwake lina manufaa.
Unaongea hivyo sababu una uhakika na matibabu yako binafsi ama na familia yako, una uhakika na msosi wako wa kila siku, una uhakika kupeleka watoto wako shule nzuri ili baadaye nao waishi vzr kama wewe- ila ni ujinga mkubwa kutofiria wengine; haki zao za mambo hayo wanazipataje? Kama hufikiri hivyo basi hata hiyo elimu yako ni useless.
 
Sasa kama huna uhakika wa kula na matibabu si ndio Itafute? Kupambana na wasiohisika kwenye umaskini wako ni nini kama.sio.kujitafutia balaa.

Kazana kubisha mshahri mwanao basi
 
Ndio maana ya "siasa ni mchezo mchafu". Kinga kubwa kuliko zote ni ya ulimwengu wa roho. Mtu akikutafuta kwa mabaya asikuone, akikurushia bomu lirudi kwake mara mbili. Kuna kiongozi aliitwa na mwalimu kuwa "ni simba wa vita " ni mambo kama hayo.
 
Acha ujinga wewe,Daudi alipokwenda kupigana na Goliati angehesabu gharama angem-confront.Daudi alimuamini Mungu,na hiyo ikawa ndio nguvu yake.Sisi nguvu yetu kama Wananchi ni MUNGU.
Wewe hakuna kitu unajua. Daudi alihesabu gharama kabla ya kwenda kupigana na Goliathi.

Daudi alipohesabu gharama akagundua yeye anaye MUNGU WA KWELI anayemwabudu. Hivyo Daudi alijua fika kuwa MUNGU atamtia Goliathi mikononi mwake na ndiyo maana hakumwogopa Goliathi.

Kumbuka kabla ya vita Goliathi aliongea maneno ya kashfa dhidi ya BWANA MUNGU. Daudi alikasirika alipomsikia Goliathi akimkashifu BWANA MUNGU. Hiyo inatosha kukuonesha kuwa BWANA MUNGU alikuwa upande wa Daudi.
 
Chawa wa mama
 
Na sisi Mungu yupo upande wetu,hawezi kuwa upande wa wakata Albino viungo.
 
Iko siku watawala watakutaka utoe ndogo, je utakubali kwa kuwa ukipinga watakupoteza?

Ukiyathamini sana maisha utauza utu wako, utamkufuru Mungu wako.
 
Sasa wewe manufaa yako ni kutokuwa navyo vyote hivyo?

Nini kinakufanya usiwe na uhakika wa maisha yako? Fikiri kabla hujajibu.

Mbowe ana uhakika na hayo yote uliyotaja au hana?
 
Yule anaesema katupwa katavi?

Mimi naona kama mchezo wa kuigiza yule.

Hivi hao wasiojulikana wana muda huo wa kusafiri nae kote huko ili wakamwache porini?

Haiingii akilini, au dogo mwengine unaemuongelea?
 
Huu ni ukweli japo watasema uache uoga
 
MUNGU angelikuwa upande wenu msingetekwa na adui wala adui asingekuwa juu yenu.

Mpaka sasa huyo adui yenu yuko juu yenu. Na anawafanya lolote atakalo.
Mkuu ndio adui yetu ametufanyia uovu mwingi,ila kila jambo lina wakati wake.Ufaransa kwa mfano waliwaibia Wakinabe,Wanaija na Wamali for decades,lakini muda ulipowadia they were kicked out.So CCM muda wao utafika,we will eventually kick them out.
 
Yaani nikiangalia vijana walichokifanya Kenya mpaka mswada umeahirishwa afu nikarudi kusoma mikojo Yako naelewa kwanini ilibidi mkwawa ajiue mwenyewe baada ya mapambano yamda mrefu nawajarumani,,,,,,tunavijana wengi wanaokojoa kwenye makopo usiku kama ww ndio maana Leo nchi inaongozwa kifalafala na bimdashi afu ni ngonjera deile zakumsifu,,,,,,siku ukiacha kukojoa kwenye makopo utajua ulikuwa msenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…