Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

Waoga hufa mara nyingi sana kabla ya kifo halisi kuwafika.

Ndio maana ya hayati Jomo Kenyatta kusema watanzania ni maiti
 
friends,
ni kujipanga tu 🐒
 
Kwahiyo waliojitolea na kutufikisha hapa tulipo baafa ya uhuru walikuwa vichaa!
 
Mkuu ndio adui yetu ametufanyia uovu mwingi,ila kila jambo lina wakati wake.Ufaransa kwa mfano waliwaibia Wakinabe,Wanaija na Wamali for decades,lakini muda ulipowadia they were kicked out.So CCM muda wao utafika,we will eventually kick them out.
Nitakupa mfano mmoja;

Kenya waliiondoa KANU, je, akina Ruto na wenzake sasa hivi hawaibi? Je, Kenya wametatua matatizo yao baada ya KANU au shida ziko pale pale. Rejea maandamano ya Gen Z.

Hapo sijakupa mfano wa Zambia, Zimbabwe, Malawi nk.

CCM na vyama vingine vya upinzani hawana tofauti, wote ni mbwa mwitu tofauti ni rangi tu ya manyoya.
 
Wewe pia hapo ni ushahidi tosha kuwa wabongo wako vizuri kutype tu lakini hawatakuunga mkono kwenye magumu , wakenya na wabongo tofauti sana , kwa kuielewa nature ya watanzania lazima utumie akili vinginevyo unajihatarisha tu pia thread yangu imelenga kusisitiza umhimu wa kuwa na ulinzi shirikishi kabla hujaanza kufukua makaburi
 
Kwahiyo waliojitolea na kutufikisha hapa tulipo baafa ya uhuru walikuwa vichaa!
akina nani, unadhani Nyerere alikuwa mpinzani kama hawa wapinzani wa Twitter, hakuna speech hata moja Nyerere amewahi kuwatukana wakati akiomba uhuru , Usifanye comparison jikite kwenye hoja
 

MKUU muogope MUNGU anaeua mwili na Roho yako sio binadamu anaua mwili tu
 
Kwa hiyo unahakikishia umma kuwa hawa ndugu zetu mnaowafanyia unyama huu kumbe ni kwa kuwa "mnadhani" hawana sera na wanapinga kila kitu cha kwenu?

Kama wanachokipinga kwenu ni sahihi, why hurt, torture kill them unlawfully?

Huoni kuwa watu wanaotumia njia hii maana yake wao ndiyo hasa sera zao na kila wafanyacho ni hovyo na hakifai kuliwa na jamii na hivyo wakikosolewa huona kuwa wako exposed na kuficha hilo hujaribu kumwondoa kwenye picha kila wanayedhani ni kikwazo kwao..??

I didn't think kuwa, wewe bibie FaizaFoxy unaweza kuwa na fikra za namna hiI...?
 
We mwenyewe umeandika kijinga na kwa Mihemko
 
"Unyama" upi huo? mbina unaongea kama upo chooni? Usiogope, sema usikike.
 
Sio lazima tufanane na hao ulio wataja,we are a different nation and people.Tulimpata JPM kwa tamaa zao wakamfisha.Lakini we have Niger,Mali and Burkina Faso who now have leaders committed to the Citizenry.Ni hivii,hatuwezi kukata tamaa eti kwa vile wengine wameshindwa,that will be lunacy.
 
Ukimpa mtu uhuru wa kukosoa Kuna shida ?
Wewe ni boss ,sasa subordinate anakutishia Nini na Kwa lipi? Muache aongee ,aandike chochote. Hizo ndizo busara za maboss
 
Kutetea na kuilinda nchi yako na watu wake ni wajibu wako.
Utetezi na ulinzi wa nchi/taifa ni jukumu la wote (walio madarakani na wapinzani).
 
Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.
 
Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.
Hiyo data ya 80% ilipatikanaje na hiyo 20% ilipatikanaje Huwa najiuliza. Mbona mm sikuhojiwa nikaelimishwa nikapiga kura huenda ingekuwa 21%. Mm naamini Mzee aliamua kukubali kutokana na siasa za nchi nyingi zilipofikia.
 
Waliopigania uhuru kutoka kwa mkoloni walikuwa na ulinzi gani? Huna hoja mkuu, hiki hakika ni kitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…