Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #261
mimi niliopo mkoa wa Bukoba sijui nitaipataje maana jana nimemtafuta sana Mzee Abdul kwa namba ulizotuwekea ila hakupatikana
Hii sio dawa hii ni natural home remedy kama vile hinna au matunda au ule udongo wa kimasai, lukaria.
Haijatoka kiwandani wala haitengenezwi na binaadam ni natural ya Mwenyeezi Mungu 100%. Wala haina process yoyote ya utengenezaji.
Nilishawahi lijibu hilo swali mara nyingi tu:
Ni tsh ngapi?
vipi kwa watu wenye mvi kichwani huo udongo unaweza kusaidia kupunguza au ni kwa wenye vipara tu.nawasilisha
freeboyKila nikipanga kuja kuuchukua huu udongo mambo yanaingiliana ila wikend hii lazima niufate kwa vyovyote vile tuone matokeo yake maana nasumbuliwa sana na vipele baada ya kunyoa ndevu.
Na vipi kuhusu mba wa kichwan ushaufanyia utafiti huo udongo kama unaweza kusaidia pia?
Hongera sana kwa kazi njema Bi Zainab Tamim
Ninashukuru sana Dada Zainab Mume wako ni rafiki yangu ameniambia kuhusu Udongo huu. Nitauchukua kwake na kuweka Ushuhuda hapa.
Nipo mwanza nasumbuliwa na chunusi ntaupataje udongo
me naitaj kwaajil ya mmewangu
mimi nimepata hiyo bidhaa nipo bukoba nimeipata kwa njia ya basi ila bado sijafahamu namna ya matumizi yake.Utanielekeza hapa au mpaka niwwpigie simu
Poa hongera kwa bidhaa