Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

mimi niliopo mkoa wa Bukoba sijui nitaipataje maana jana nimemtafuta sana Mzee Abdul kwa namba ulizotuwekea ila hakupatikana


Ndugu yangu samahani sana, jana huku kwetu Sinza tulikuwa hatuna umeme kabisa mpaka jioni saa kumi na moja na robo.

Bukoba mpaka sasa hatuna msambazaji lakini tunaweza kukutumia kutoka Dar.
 
Hii sio dawa hii ni natural home remedy kama vile hinna au matunda au ule udongo wa kimasai, lukaria.

Haijatoka kiwandani wala haitengenezwi na binaadam ni natural ya Mwenyeezi Mungu 100%. Wala haina process yoyote ya utengenezaji.


Nilishawahi lijibu hilo swali mara nyingi tu:


Ni tsh ngapi?
 
Jamai huu udongo wetu huko nje ni ghali sana tena na unatumika huo wa huko kwao ambao kwa uhakika kabisa huu wetu una ubora zaidi.

Naomba mjisomee hii link: Durable Health
 
vipi kwa watu wenye mvi kichwani huo udongo unaweza kusaidia kupunguza au ni kwa wenye vipara tu.nawasilisha
 
Kila nikipanga kuja kuuchukua huu udongo mambo yanaingiliana ila wikend hii lazima niufate kwa vyovyote vile tuone matokeo yake maana nasumbuliwa sana na vipele baada ya kunyoa ndevu.

Na vipi kuhusu mba wa kichwan ushaufanyia utafiti huo udongo kama unaweza kusaidia pia?

Hongera sana kwa kazi njema Bi Zainab Tamim
 
Last edited by a moderator:
Kila nikipanga kuja kuuchukua huu udongo mambo yanaingiliana ila wikend hii lazima niufate kwa vyovyote vile tuone matokeo yake maana nasumbuliwa sana na vipele baada ya kunyoa ndevu.

Na vipi kuhusu mba wa kichwan ushaufanyia utafiti huo udongo kama unaweza kusaidia pia?

Hongera sana kwa kazi njema Bi Zainab Tamim
freeboy

Asante sana.

Mba tumeifanyia tafiti, inatoa mba za kichwani vizuri sana mpaka utashangaa na mapele ni hivyo hivyo.

Pia utango-tango, mapunye na fangasi za ngozi na vidole inatoa vizuri sana.

Kuna kijana anafanya home delivery Dar. Unamlipa gharama yake 3,000 (hiyo ni usafiri wake na posho yake) anakuletea ulipo.

Pakiti (mkebe) mmoja wa Aunt Zainab's Natural Super Clay ni 3,500/= tu.
 
Ninashukuru sana Dada Zainab Mume wako ni rafiki yangu ameniambia kuhusu Udongo huu. Nitauchukua kwake na kuweka Ushuhuda hapa.
 
me naitaj kwaajil ya mmewangu

Sema tu ndugu yangu uko wapi tukuelekeze pa kuupata.

Halafu huu mzuri sana hata kwa wanawake hata kama nywele hazikatiki kuziweka katika hali nzuri tu unaweza kutumia wiki mara moja.

Vile mapele, chunusi, kuweka ngozi kuwa nyororo na laini. Ni mzuri sana.

Namba zangu za simu 0769302206 simu 0689771331 ni whatsapp pia.
 
mimi nimepata hiyo bidhaa nipo bukoba nimeipata kwa njia ya basi ila bado sijafahamu namna ya matumizi yake.Utanielekeza hapa au mpaka niwwpigie simu
 
mimi nimepata hiyo bidhaa nipo bukoba nimeipata kwa njia ya basi ila bado sijafahamu namna ya matumizi yake.Utanielekeza hapa au mpaka niwwpigie simu

Njia rahisi ya kuutumia ni kuchukuwa mkebe mmoja wa Aunt Zainabs Natural Super Clay, bakuli safi la kigae au platic (usitumie la bati au chuma), au unaweza kukata katikati chupa ya maji ya plastic ile kubwa na kuifanya ndio chombo chako cha kuchanganyia.

Unautia maji vikombe viwili au glass mbili za kawaida (sio vile vikubwa), unauwacha ujichnganye wenyewe kama lisaa limoja au mawili. Utashangaa huo mkebe unaouona kidogo unavyojaa kwenye maji na kuwa mwingi.

Kuutumia unachukuwa huo udongo uliojichanganya, hakikisha unakuwa mzito mzito kama ugali laini au uji mzito wa kujiko. Inajisiriba sehemu zote unazotaka huo ulikwisha changanya, baada ya kuusiriba, kumbuka inatakiwa uusiribe (thick layer) na si kuupaka kama mafuta. Ni kama vile kupaka hinna.

Unatakiwa uuache ukauke kabisa ulipousiriba usiutoe mapema kabla haujakauka, unaweza hata kulala nao ukisha kauka.

Kila unapokaa zaidi mwilini ukiwa umekaukia hapo, ndio unafanya kazi vizuri zaidi. Ukauke kabisa uwe kama vumbi tena ulipoupaka ndio vizuri zaidi. Ukishakauka unanawa tu kwa maji.

Uliobaki katika uliouchanganya unafunika na kuuweka vizuri na kuutumia tena hauharibiki. Siku ya pili au ya tatu ukiona unaanza kukauka kwenye chombo ulichochanganyia unaongeza maji kidogo na kuukoroga pamoja na kuutumia tena na tena. Usiwe na wasi wasi hauharibiki kabisa.

Hakikisha unatumia maji safi unayoweza kunywa kwa kuuchanganyia.

Kwa siku mara moja inatosha.

Kama una swali lolote unaweza kuuliza hapa au kwa simu namba 0769302206.

Tazama post inayofata kwa wale wanaotaka kuutumia mwili mzima.

Karibu sana.


 
Napenda kuwajulisha kuwa Aunt Zainab's natural Super Clay pia imesaidia wengi wenye harufu kali ya jasho (kikwapa), ukiitumia, kikwapa kinapunguwa siku hiyo hiyo na kina kata kabisa ndani ya wiki moja na baada ya hapo unatumia wiki mara moja ku maintain kisirudi.

Unajisiriba sehemu zinazotoa jasho mwilini, kama vile kwapani, shingoni, usoni na popote unapohisi panatoka jasho, basi inapigana na bakteria wote wanaofanya jasho lako linuke.

Kwa kutoa harufu kali ya jasho mwilini, ninashauri mwenye tatizo hilo kwa siku tatu za mwanzo ajisiribe na kujikandika mwili mzima kuanzia kichwani mpaka vidoleni, mwili mzima, atafurahi sana kwa matokeo yake siku ya mwanzo tu yakuutumia:

207604051.jpg
 
Poa hongera kwa bidhaa

Asante sana ndugu yangu, ijaribu ni nzuri sana kwa matumizi mingi ya mwilini yanayohusiana na ngozi na nywele.

Pia unaweza kuweka mkebe mmoja nyumbani kama emergency, mtu akiungua na mto au maji ya moto. Ni mzuri sana na unasaidia kuungua haraka sana.

Pia hata kama hauna matatizo ya nywele unaweza kuutumia kwa mwezi mara moja au mbili kuziweka (maintain) ziwe katika hali nzuri wakati wote.
 
Back
Top Bottom