Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #261
mimi niliopo mkoa wa Bukoba sijui nitaipataje maana jana nimemtafuta sana Mzee Abdul kwa namba ulizotuwekea ila hakupatikana
Ndugu yangu samahani sana, jana huku kwetu Sinza tulikuwa hatuna umeme kabisa mpaka jioni saa kumi na moja na robo.
Bukoba mpaka sasa hatuna msambazaji lakini tunaweza kukutumia kutoka Dar.