Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

-Ofisini 20k - 22Gb Airtel SME linakaa 2 Weeks nikijibana so kwa mwezi natumia wastani 40k
-home free WiFi huwa naweka 20k Airtel SME pia
-Kwa mobile sasa daily 3000 Vodacom Kusini ofa. So ni 3000 x 30= 90k

Jumla ni 150k/month.

Matumizi ni kwenye IoT ( CCTV, printers, computers, smart TV etc)
 
Back
Top Bottom