Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UNATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.

Hapa nilipo, mshahara wa mwezi juni 2023 umeshaisha kabla hata sijaupata
 
πŸ€¦β€β™€οΈ
 
πŸ€¦β€β™€οΈ
 
5 minutes
 
Hatar sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikipata asubuhi jioni sina kitu naanza kulia lia wife animegee fungu la matumizi nililompa! Na yeye alivyo konki utasikia sina kitu! Namtim akizubaa baada ya siku mbili utasikia umeniibia elf 30 yangu! Hate this kind of life
 
Wewe sasa ahahah umezidi kiboko sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…