ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Asante sana SONGOKA umeeleza vizuri sana kumbe nasi Mungu anatujua
Sio kweli usidanganye. Katika Dunia ya kale watu weusi waliitwa waethiopia kwa hiyo Hilo neno lilikuwa haliashirii geographia tu, liliashiria pia ra rangi.And what does it make you feel? The ancient people didn't recognize the world the way we do today. So this association of Africans with the Bible is pure madness.
In ancient time Ethiopia and Yemen were within one kingdom. So if somebody refered Cush, he could as well meant Yemeni. What would you feel if somebody told you that the Queen of Sheeba was probably Yemenite?
Mungu ni wa wote wenye mwili kwanini asitujue wakaiti ametuumba?
yeye ameweka tu rangi kuwa hawa bara hili wawe rangi nyeupe na hawa wa bara lile wawe rangi nyeusi ni mapamobo yake tu hayo
Last time I checked you said Jesus is Allah.Allah never created anything. Muhammad, Not Allah, Created Islam To Satisfy His Own Selfish Desires â€" 1389 Blog - Counterjihad!
Sio kweli usidanganye. Katika Dunia ya kale watu weusi waliitwa waethiopia kwa hiyo Hilo neno lilikuwa haliashirii geographia tu, liliashiria pia ra rangi.
Do you believe that Jesus is Allah? It seem you are full of it, you man.Last time I checked you said Jesus is Allah.
For that confession of yours ,it means Jesus created nothing. Now you are saying the truth. Jesus never created a thing.
Jesus was created as was his mother and all other messengers of God before him.
Takbiir!
link ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace
Mungu akubariki Kiongozi.Kaka naheshimu sana michango yako,unaonekana kujua mengi sana na wengi huwa tunafaidika na unayoyajua.
Ila ombi langu ni hili,punguza matusi ama kushambulia watu pseeeee. Nadhani hayo ndio mafundisho ya Yesu unayejitamba kumfuata.
Do you believe that Jesus is Allah? It seem you are full of it, you man.
Jesus is ALLAH.Pale kwenye Ka-blog iko hiyo na hapa JF unairudia rudia. Je unaikana sasa?
Is Jesus Allah according to Quran?
Ishmael,I challenge you to answer this question.
Are you not full of it?
Do you just write things to fool those kondoo wa bwana?
asili ya watu yaweza tofautiana katika mitazamo ya jamii tofauti kutokana na nadharia inayotumiwa na jamii hiyo. Nadharia ya neno "wazungu" imetumika "kimtizamo" zaidi, iki reflect rangi na si tabaka la kigiografia.
ndo maana nimeanza na neno "kumekuwa na mtizamo".
Jesus is ALLAH.
Last time I checked you said Jesus is Allah.Allah never created anything. Muhammad, Not Allah, Created Islam To Satisfy His Own Selfish Desires â€" 1389 Blog - Counterjihad!
Birth pangs, it is allah of Islam who never created anything, in contrast, Jesus created Muhammad and your Allah.Last time I checked you said Jesus is Allah.
For that confession of yours ,it means Jesus created nothing. Now you are saying the truth. Jesus never created a thing.
Jesus was created as was his mother and all other messengers of God before him.
Takbiir!
link ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace
nimependa uchambuzi wako.. Naomba kukuuliza hivi tunda la katikati alilokula adamu ni lipi, maana huku mitaani kuna maneno mengi .
asili ya watu yaweza tofautiana katika mitazamo ya jamii tofauti kutokana na nadharia inayotumiwa na jamii hiyo. Nadharia ya neno "wazungu" imetumika "kimtizamo" zaidi, iki reflect rangi na si tabaka la kigiografia.
ndo maana nimeanza na neno "kumekuwa na mtizamo".
Kisichokuwapo kinathibitishwaje kwamba hakipo?
Unafahamu kanuni za kuthibitisha?
Unaweza kuthibitisha kwamba nyumbani kwako hakuna panga la shaba linaloelea hewani bila kuonekana?
SONGOKA
Waafrica hawakutoka Mashariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wametokea Africa.
Hata Wamisri wametoka huku kwetu kusini kwao.
Jaribu kumsoma Cheik Anta Diop, sio kila siku biblia tu.