Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

Nshakutana na wizo akee, [emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wizo kila kwa jambo la ndoa ana ku tag...
Anasema wewe kungwi sijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkikataliwaga na vidampaa, mnakua bitter sanaa, naijua hiyoooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hakuna kitu ka hiko wewe
 
Napenda Sana Love stories drama na comedy,hasa Za Adam Sandler, Nicholas Sparks,.Ila drama zisiwe kuzidi reality..haha hiyo mnaipendea Nini?

Mimi na Tyler Perry mbali mbali labda the haves and the haves not
Kamtazame Tyler perry Kwenye movie za Madea ziko nyingi, lazima ucheke kinyama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna kitu ka hiko wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia "daaah had wee unanitolea nje? Nna nn mimi?".

Bas mtaanza chuki na visa hapo, jaman vidampa hawapo kwa kila mtu, wana watu wao special wanao waelewa na kuwakubalii.

Acheni chuki bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie somo na nyakanga, nafunda mwali na somoyee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee mbona umekamia sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una nini lakini coca khaaaa
Yaani na wewe umeanza habari za wizo ukishikilia kitu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…