Ndo Basi Tena hamna kitu hapa๐๐chipsi na mishkaki
Wewe unapenda kula nini?Ndo Basi Tena hamna kitu hapa๐๐
Ndizi nyama...
Ugali Dagaa wa Mwanza..
Wali Maharage...
Kiburu.
Aisee hili swala inabidi Leo nikae chini nifikiri kwa kina maana me nakulaga tu Kila kitu ๐Wewe unapenda kula nini?
sababu huna hela kwahy unakula mpaka njaa iume na njaa ikiuma haichagui ki2 cha kula wala ukipendacho yenyewe ndio hukuandaliaSikuizi sijui chakula nikipendacho sijui Kwanini..
Papuchi meal..................Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.
Aisee hili swala inabidi Leo nikae chini nifikiri kwa kina maana me nakulaga tu Kila kitu ๐
DailyPapuchi meal..................
Ila sio kwa kitimoto aseeKukinai ni kitu cha asili kabisa ndani mwetu, ni ngumu saana kula kitu hicho hicho daily na kuendelea kufeel the same.
Hata chair fire, jaribu kumla miezi mi3 mfululizo kisha utakuja niambia hapa.Ila sio kwa kitimoto asee
Hii aisee safi sana hata Mimi naielewa"Ugali kwa maziwa" unaijua chubhu wewe?