Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Daaaa! 🤗 Mbona tutapigwa sana kwa Mwendo huu!
 
Una ushauri mzuri sana! Nikuulize jambo" HUWA UNANYAMAZA ANAPOONGEA MUME WAKO?
Mume Wangu Ni mkimya Sana huwa hajibizani anaondoka tu
Ila Mimi namuheshimu Sana
Siwezi toka usiku peke yangu bila yeye au mchana bila ruhusa yake
Hilo life style la kuishi kama upon single wakati Ni mke Wa mtu Sina Kwa kweli,
 
Hivi ulishaolewaga kumbe?
 
Mpe talaka tu kabla hujamuua.

Visa vya wanandoa kuuana kwa wivu ni vingi sana siku hizi.
 
Umefanya kosa kubwa sana kupiga ubavu wako,Mke hapigwi Kwa magumi na mateke,mke ana pigwa Kwa khanga na vitenge vikiambatana na fimbo yenye nyama Laini,Miaka 20 Sasa Niko kwenye ndoa sijawahi piga mke wangu japo Mimi ni mtata sana.
Kupiga mke sio ushujaa ni ugonjwa wa akili "you can't teach an old dog new tricks" badilika rafiki ,utaishia jela ujute maisha Yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…