Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Kwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friend
Daaaa! 🤗 Mbona tutapigwa sana kwa Mwendo huu!
 
Una ushauri mzuri sana! Nikuulize jambo" HUWA UNANYAMAZA ANAPOONGEA MUME WAKO?
Mume Wangu Ni mkimya Sana huwa hajibizani anaondoka tu
Ila Mimi namuheshimu Sana
Siwezi toka usiku peke yangu bila yeye au mchana bila ruhusa yake
Hilo life style la kuishi kama upon single wakati Ni mke Wa mtu Sina Kwa kweli,
 
Kwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Mpe talaka tu kabla hujamuua.

Visa vya wanandoa kuuana kwa wivu ni vingi sana siku hizi.
 
Umefanya kosa kubwa sana kupiga ubavu wako,Mke hapigwi Kwa magumi na mateke,mke ana pigwa Kwa khanga na vitenge vikiambatana na fimbo yenye nyama Laini,Miaka 20 Sasa Niko kwenye ndoa sijawahi piga mke wangu japo Mimi ni mtata sana.
Kupiga mke sio ushujaa ni ugonjwa wa akili "you can't teach an old dog new tricks" badilika rafiki ,utaishia jela ujute maisha Yako yote
 
Back
Top Bottom