ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mwanaume kushinda unashindana na mwanamke eti kulipiziana visasi ni upuuzi wa hali ya juu kwani huna mambo ya kufanya ?kyanyangwe mwanamke hapigwi.
MWanamke analipizwa . Ili aone alichokifanya sio kizuri ungetakiwa kumwambia pole
Mke wako akikosea toa uamuzi kama unamuadhibu ,kama una muonya,kama unamsamehe basi ili maisha yaendelee.