Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki??

Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
 
ya nini kumshtaki?,,siku nyingine wewe bana hapo sebuleni alaf egesha mlango,,akianza kugonga,,,,,unafungua mlango ghafla,alaf unamrukia kichwa cha kondoo,then unachukua simu yako unamwekea mfukoni alaf unatimtia mwizi!!!atashitakiwa kwa kesi ya wizi,hiyo ya kugonga mlango sio kesi
 
Hahahaha 😂 noma sana
 
Oooh. Hiyo mbaya sana broo.. Ukipiga kelele za mwizi!!! wenye hasira watamshukia kama wimbi na kumwuua. Je; si utakuwa ww ndo umemsababishia kifo/umauti ilhali kiukweli yy sio mwizi? Kwa nini usimtokee hapo nje na kumuonya kwa ukali kwamba hutaki hiyo tabia na asirudie tena kufanya hivyo siku zijazo?
 
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki??

Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
Uko na Pesa nyingi za kupoteza ee?
 
Mlangoni kwake mkuu kuwa serious unampa ngumi heavy
Mhhhh! Je; Umeliona umbile la mzoa taka na la huyo unayemshauri ampe ngumi heavy? Kwani kuwepo mlangoni kwake kwa kazi ya kuzoa taka ni shida? Ndo mara ya kwanza kufanya kosa la kugonga mlango? Kwani hakuna namna nyingine isiyo kuwa kupiga ambayo ni endelevu zaidi (sustainable)ya kupata ufumbuzi kwa kero hiyo? Nyie vijana mnadhani kila tatizo/kero hutatuliwa kwa ngumi.
 
Mkuu huu ushauri mpe mtoa mada maana kama alikereka mpaka anataka kufungua mashtaka
 
Wewe unavyokusanya takataka mlima unalitegemea huyo jamaa akagonge wapi?
na sio ajabu kila siku anakugongea kistaarabu halafu unakausha tu,
sasa leo akaamua akomoe mbona umetoka!?
 
Back
Top Bottom