kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
wakusanya uchafu wote ni wezi!!Oooh. Hiyo mbaya sana broo.. Ukipiga kelele za mwizi!!! wenye hasira watamshukia kama wimbi na kumwuua. Je; si utakuwa ww ndo umemsababishia kifo/umauti ilhali kiukweli yy sio mwizi? Kwa nini usimtokee hapo nje na kumuonya kwa ukali kwamba hutaki hiyo tabia na asirudie tena kufanya hivyo siku zijazo?