Sio kweli mkuu. Mbona hapa kwetu wanakusanya lakini hatujasikia au kupata taarifa ya kutokea kwa wizi majumbani mwetu? Sisi huku utaratibu ni kwa ww mwenye nyumba kuuweka uchafu na matakataka mengine kwenye viroba na kuweka nje pembeni ya barabara. Kila mwezi tunalipa 2,000/=