Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Ndoa za siku, zinachangamoto sana.
Zamani tulikua tunasema, mke haachwi kwakuto jua kupika, kufua au kutofanya usafi, unamfundisha msisha yanaendelea ama anatafutiwa msaidizi.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜…
 
Msaada noaweza kumpa amlete kwangu kidogo...

Nimuweke chini ya uchunhuzi kidogo..
Ofcoz kwa ruksa Yako sweetheart...

Napenda mwanamke akiwa na ujinga ujinga kama wewe sweetheart siyo serious...
Weeeee staki smart hakunaa! Huo uchunguzi kwioo๐Ÿ™„๐Ÿ˜Š
 
Mimi huwapenda sana Wanawake hao Wanaojambajamba hovyo kwani hunirahisishia Kazi kujua kuwa wanatoa 'TOILET' hivyo nami kutoa Ushirikiano kwa 'KUWAZIBUA' na hufurahia mno kama ninavyofurahiaga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ