Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
100%Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Anza wewe π
Sidhani kama tunahitaji wanawake wanaotii tu....huu kwangu nauona utumwa na ushamba.Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Hayupo mwanaume wa kuoa aina hii ya mwanamke. Labda huyo mwanamke aoe yeyeKabla sijajibu swali lako mkuu niseme tu, mimi siwezi kuishi na mwanamke wa ainahiyo mazeee
Ukikuta mwanaume ana mwanamke wa hivyo na amefunga nae ndoa.... basi ujue huyo mwanaume hakujipa wakati wa kutosha kumfaham aina ya mwanamke anae taka kumuoa. Na hili ni kosa kubwa sana wanaume hulifanyaHuwa hawafunui makucha mkuu
hujamkaza alafu utegemee asubuhi akupikie chai, sahau πππππππ
Uko wapi?Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Akikujibu nitagπ€Έπ€Έπ€ΈUko wapi?
BaelezeeMahusiano ya Aina hiyo hamuwezi kutoboa, mtakuwa mnaishi Kwa kuviziana Sana. Lazima kuwe na muda wa kusikilizana, Kila mmoja akiwa juu ni hatari Kwa ustawi wa hiyo ndoa...Ndoa ni maelewano, Ndoa ziko afrika lakini huko Kwa wenzetu sasa hivi Hali ndiyo mbaya kabisa.
KabisaMpk kufikia hatua ya kuona makosa yote hayo, Hilo tuu ni kosa kwa Mwanaume.
Wewe ni wa kwangu siwezi kukosa namna ya kukunyong'onyeza ukinikosea adabu.ππππUtafanyaje?
Mahi nakuona unavyotaka kukimbia deni la taifa..!! πΉπΉBig Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my πππ
Atajikuta pabaya sanaUtafukuza?πππ
Naona una mtrain kuwa godfather wa ma simpBig Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my πππ