Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mbavu zanguu πŸ™Œ
Kuna siku nikakuta simu yake ina mapicha picha na mavoicenote ni kaachana nayo tu siku nyingine nakuta mpya anasikiliza kwenye earbuds nyingine kaniacha chini ni kachukua nami nikasikiliza Weeeeeeh nikaja kuuliza siku nyingine tu akataka ushahidi mara kaipandisha sauti aisee nikaona namna ya kumnyamazisha ni kumuwasha banzi la mdomo...
Kuna wamama wanachukulia poa sana uanaumeπŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpaka univunje nyonga,dadeki!
Halafu hizi mambo usiniongeleshe nazo,Kumbuka Mimi ni mama mchungaji tafadhali πŸ₯΄
Nilishakuambiaga wewe husumbui kwangu... na unalijua hilo... hehehe...
Huo umama uchungaji nikitaka uwe utakua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…