Choma na samaki anaepaaa 😁huwa najitahidi kufanya hivyo pia,, kabla ya mwisho wa mwez huwa napangilia kila kitu mpka natenga na ka alf 20 ka kununua choma kilo na vi juice vya flying fish hata viwili na mambo yangu yanaenda vizuri,,
hapa kati mambo yaliingiliana nikajikuta uwani kwenye mikopo😪 sikua na namna ila kila kitu kitakua sawa,,,,,
hao wavimba macho watanifanya nijikwae si unajua sina ujasiri wa kutembea kwa watu wengi😄😄😄 nitajikwaa
Eeh bhna eeh hajui tu sema nikuulize wewePanapohiajika pesa anataka kutumia akili zake😃
Squiz mapenzi hayataki kudekeana dekeana kama hauko stable kiuchumi otherwise umrogeMkuu kwenye pesa hakuna utani
ewaaaa mule mule kweny vitu vyanguChoma na samaki anaepaaa 😁
Tunahitaji discipline ya hali ya juu kwenye mambo yanayojitokeza ghafla, hii nayo huwa inarudisha nyuma. Kama dharula haisababishi mtu kufa na inavumilika unavuta subira . Ukimaliza hilo usijichanganye tena tajiri
Kuna watu wana macho makali kama mishale ya sumu 😊
Mwenye JF yake alikuja kucheka pia hata kwenye ule uzi wake wa Birthday,nilivyouliza ndio nani huyo huko Daslam?Afu wewe bana!! Comment ya kwanza umeleta ile VAR hadi mwenye JF yake amecheka 😂
Hii nayo! So unasemaje maana mtaani kwangu hamna kichaa! 🤣
😁😁 Unaweza jikuta hulali, kisa mikopo kaa mbali na mikopo kama unataka ufanikiwa kifedha na kiuchumiewaaaa mule mule kweny vitu vyangu
siwezi kurudia nimekoma kabisa,,,,, 😄😄😄 why mishale ya sumu dah 👐
Sasa mkuu, alitaka nimnunulie kijora nikapiga misele nikaja nacho kwenye begi nikataka nimtanie kidogo nikamwambia twende sokoni tukanunue ila tulipotoka nikaenda kuzulula nae maeneo na kupata ice cream nikamwambia turudi akauliza kwahiyo kijora nikamwambia sina ela kwa leo mpenzi akakasirika hatariii kiasi cha kuongea peke ake njianiSquiz mapenzi hayataki kudekeana dekeana kama hauko stable kiuchumi otherwise umroge
Huyo dawa yake kuwa bize usipige nae stori nyumbani fika oga kula kalale usipe muda kabisa wa kuwa karibu ma wewe kistori yeye mwenyewe atajishushaWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
haya tutaonana badae hebu tusijaze uzi wa watu😄😄 imetosha kwa leo (kwenye huu uzi) ila tukikutana kwingine tutaanzisha vingine😁😁 Unaweza jikuta hulali, kisa mikopo kaa mbali na mikopo kama unataka ufanikiwa kifedha na kiuchumi
Unaangaliwa hadi unata kuanguka ndio macho makali hayo au unakuta mtu unatazamwa ghafla unapoteza amani ya roho😁😁
Uniulize kwamba?🤔Eeh bhna eeh hajui tu sema nikuulize wewe
Tafuta kitoto cha elfu 2 tu mkuu bila shaka huyo mkeo ni kibongeSasa mkuu, alitaka nimnunulie kijora nikapiga misele nikaja nacho kwenye begi nikataka nimtanie kidogo nikamwambia twende sokoni tukanunue ila tulipotoka nikaenda kuzulula nae maeneo na kupata ice cream nikamwambia turudi akauliza kwahiyo kijora nikamwambia sina ela kwa leo mpenzi akakasirika hatariii kiasi cha kuongea peke ake njiani
Tulivyofika home nikam-suplize kwa kumpa zawadi aliyotaka nikajua atashusha hasira ndio kwaanza anazid kupaniki eti kwanini nimdanganye na hadi akaondoka
Sasa hapo uchumi unahusikaje
Anaitwa nani kwanza?Wakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Eeeh au ndo ilikua patashika nguo kuchanikami nishaweka tayali fuatilia comment za mwanzo mwanzo kabisa utanikuta
Hakupendi na hakuheshima..... Another single Maza comingWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?