Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Hapana mkuu, unaweza kumjaza upepo dada wa watu akapoteza mwanaume mwema. Ukisoma maelezo ya huyu dada yeye anataka mapenzi ya ki-teen age yale. Ukiangalia umri wao 27/26 unaona mwanamke yupo kwenye stage ya kutafuta mapenzi ya kweli wakati mwanaume yupo kwenye stage ya kupambania ndoto zake. Kwaiyo inawezekana jamaa hana shida sema yupo kwenye hatua ya maisha ambayo romantic stuffs sio kipaumbele chake
 
Nimefurahi sana kukuona hapa jukwaani, nilikuwa sipati usingizi kabisa kwa ajili yako nikihisi labda mwezi uliopita hukuvuka salama.
Nilivuka japo nilipigwa kibomu cha machozi nikiwa nyumbani ila alhamdulillah
 
Asomae na aelewe.🙏🙏
 
Sina mapenzi ya ki-teen age mkuu… haya kama hapa yashapita masaa 24 tangu tuwasiliane na mimi ndio nilikuwa wa mwisho kutuma sms kumuuliza kitu kaniblue tick na yuko active social media

Ngoja ni balance kama atanitafutia Sawa akiacha mimi simtafuti Nimechokaa kujipendekeza 😌
 
Pole sana, ukipata nafasi uje huku kijijini angalau nikuchinjie kambuzi upate supu kufidia nguvu zilizopotea kwa hofu.
Nitakuja yani nguvu zilipotea kweli wiki nzima nikisikia hata kuku anawika nataka kukimbia😂😂
 
Kuna wanawake ni wakuwapuuza!,unakuta anakupigia mwenyewe halafu anakwambia niambie mara leta story,anataka muongee mda mrefu na hana chochote cha kukwambia,sipendi kabisa mawasiliano nonsense kama hayo
 
Kwa kuwa hamuishi pamoja nitakupa mbinu ambazo hazitahili
Ila zingatia hili
Kipindi hichi kabla hujawa mamtu ndo cha ku enjoy
Kama huenjoy now eeeeee tegemea kushusha nyuzi kumi kwa siku ukiingia ndoani
 
Kuna wanawake ni wakuwapuuza!,unakuta anakupigia mwenyewe halafu anakwambia niambie mara leta story,anataka muongee mda mrefu na hana chochote cha kukwambia,sipendi kabisa mawasiliano nonsense kama hayo
Mtu unaempenda hakukeri
Hata kidogo
Na utajua namna ya kumhandle tu
 
KIjana miaka 27, bado mdogo huyu, halafu wewe 26...duuh...Umri wako unawaza ndoa hapo na commitment, 27 kijana ndoa na hizo commitment nadra sana,bado nataka , sitaki.Hapo wewe size yako 32...ndo mtaendana kimtazamo na maono
 
Nipo single and available Aaliyyah. Nimetafuta sana mtu wa kushare nae hizi fedha ila wanaruka ruka tu.
 
KIjana miaka 27, bado mdogo huyu, halafu wewe 26...duuh...Umri wako unawaza ndoa hapo na commitment, 27 kijana ndoa na hizo commitment nadra sana,bado nataka , sitaki.Hapo wewe size yako 32...ndo mtaendana kimtazamo na maono
Nishajaribu hao wa thate Hakuna kitu majanga matupu wengi wana mahusiano yao ya muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…