GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Hahaha patamu hapo. Fomu iwe moja kwa kweli
 
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Uzushi huu duuuh
 
Hii ndio ile mambo ya bora tukose wote.
 
Kuna vidudu mtu vyataka bua la mhindi. Tutawapa kuti la mnazi
Hahaha πŸ˜‚ usiwe na wasiwasi, utamadunj wetu mwenyekiti ndiye amri jeshi wa vyombo vyote vya hlinzi na usalama! Kula bata
 
Wanaleta maigizo kama kaole.
Wameufyata
 
Raia achukue fomu nawe uchukue hizo ni dharau
 
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Siye tutamgeuzageuza na tutamla kama changu. Asilete masihara kujitia kutoa form 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…