Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Waoga hao
Sheria ya Ndoa ndio shida inambeba mwanamke alafu kuna habari za 50 kwa 50, ni ujinga kwa mwanaume mwelevu kushupalia Ndoa maana mwanamke ukimwambia kuhusu Ndoa hua anakenua maana anajua kaokota mgodi wa Dhahabu baada ya Ndoa kinachofuata ni kumpurula mwanaume huku Serikali ikimpa usaidizi (backup) sasa huo ujinga wanaume hatuutaki

#KATAANDOA
#NDOANIUTAPELI
#NDOANIWIZI
#USIOE
#HAKUNA KUOA
#KATAANDOA
 
NdMoa siyo Sakramenti, Bwana hakuoa.

Ni njia kuongeza idadi ya watu zaeni mkaongezeke.

Mtume mmoja. Paulo . alisema ukiweza oa ukishindwa uwe toashi kama yeye yaani uhasiwe, castration.

Wanaokataa ndoa waasiwe ili wasituharibie watoto pia wasile wake za wenzao
 
Bado umeweka hisia zako , huna hoja.
 
Wakiwazuia watu wasioe

Ndugu mada hakuna anayemzuia mtu asioe.l, kinachofanyika ni kuwashauri wasioe.

Neno kuzuia ukiangangalia kwenye kamusi ya TUKI Ina maana ya matumizi ya nguvu ktk kulifanya Jambo fulani lisifanyike ama kutokea".
Una akili sana.
 
Hahaha.
 
Naam.
 
Haya mambo hayajaanzia karne hii,,kwahiyo kila mtu ana-maamuzi juu ya maisha yake,,,halafu pia mtandaoni kila mtu ana uhuru wa kupost chochote anachoona sawa kwa upande wake,,haijalishi ni vipi audience wataipokea hiyo post,,akili ya mtu mwenyewe ndo huwa inaamua destiny yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…