Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Waoga hao
Sheria ya Ndoa ndio shida inambeba mwanamke alafu kuna habari za 50 kwa 50, ni ujinga kwa mwanaume mwelevu kushupalia Ndoa maana mwanamke ukimwambia kuhusu Ndoa hua anakenua maana anajua kaokota mgodi wa Dhahabu baada ya Ndoa kinachofuata ni kumpurula mwanaume huku Serikali ikimpa usaidizi (backup) sasa huo ujinga wanaume hatuutaki

#KATAANDOA
#NDOANIUTAPELI
#NDOANIWIZI
#USIOE
#HAKUNA KUOA
#KATAANDOA
 
NdMoa siyo Sakramenti, Bwana hakuoa.

Ni njia kuongeza idadi ya watu zaeni mkaongezeke.

Mtume mmoja. Paulo . alisema ukiweza oa ukishindwa uwe toashi kama yeye yaani uhasiwe, castration.

Wanaokataa ndoa waasiwe ili wasituharibie watoto pia wasile wake za wenzao
 
NdMoa siyo Sakramenti, Bwana hakuoa.

Ni njia kuongeza idadi ya watu zaeni mkaongezeke.

Mtume mmoja. Paulo . alisema ukiweza oa ukishindwa uwe toashi kama yeye yaani uhasiwe, castration.

Wanaokataa ndoa waasiwe ili wasituharibie watoto pia wasile wake za wenzao
Bado umeweka hisia zako , huna hoja.
 
Wakiwazuia watu wasioe

Ndugu mada hakuna anayemzuia mtu asioe.l, kinachofanyika ni kuwashauri wasioe.

Neno kuzuia ukiangangalia kwenye kamusi ya TUKI Ina maana ya matumizi ya nguvu ktk kulifanya Jambo fulani lisifanyike ama kutokea".
Una akili sana.
 
Nimetoka kuleeee kuja humu kuwaambia kuwa.......

Nimewakusanya wotee ili niwaambie "Nyie tukaneni, kebehini, ropokeni" yaani andikeni lolote ila HATUOI HATUOI HATUOI.

Anyway:- Karibu gheto tusikilize song la zuena la mkali mwenzetu MOND A.K.A mkataa ndoa A.K.A baba Tiffah.

Nasubiri matusi yoteee
Nasubiri kejeli zotee
.... Ila YATAPITAAAAAAAA

Nakala:-
dronedrake
Mafian cartel

Waione kwenye jalada.

#YNWA
Hahaha.
 
NDOA hizi za kisasa za kinyonyaji lazima zipingwe Hadi mamlaka zirekebishe SHERIA ya 50/50!

Lazima zipingwe kama mamlaka zinaunga mkono feminism yaani usawa wa kijinsia WAKATI hakuna usawa katika uwajibikaji!!!

Kupingwa kwa NDOA za kishetani za kisasa sio dhambi,NDOA inayomuweka mwanamke na mwanamme kuwa sawa kimaamuzi ndani ya NYUMBA ni NDOA za lilith hazifai kwa ustawi wa jamii!!

NDOA zinazodogosha mamlaka ya kiume ndani ya NYUMBA na kumfanya mwanamme mtumwa wa kumfurahisha mwanamke wakati mwanamke ana back up ya Serikali ni ujinga wa Hali ya juu!!

Nyie wanawake RUDINI BEIJING MKAFUTE ULE MKATABA WA SHETANI WA HAKI SAWA WA KIJINSIA NA KURUDISHA YALE MAMLAKA YA KIUME YALIYODUMISHA NDOA ZAMANI!!

HAMUWEZI KULILIA HAKI SAWA YA KIJINSIA WAKATI HAKUNA USAWA KIMAJUKUMU KWENYE NDOA!

RUDINI BEIJING MRUDISHE HADHI YA MWANAMME NA SISI TUTAWAOA!!
Naam.
 
Haya mambo hayajaanzia karne hii,,kwahiyo kila mtu ana-maamuzi juu ya maisha yake,,,halafu pia mtandaoni kila mtu ana uhuru wa kupost chochote anachoona sawa kwa upande wake,,haijalishi ni vipi audience wataipokea hiyo post,,akili ya mtu mwenyewe ndo huwa inaamua destiny yake.
 
Back
Top Bottom