Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Waziri Mkuu alifika kutokea wapi? Kwa usafiri Gani?
 
Lazima wenye ndege wachunguze kwa ajili yao
ni kweli watachunguza ila kwa sisi ma kapuku kujua nini kilitokea ni ndoto. Mkuu wa mkoa wa mwanza alisema kuwa bado walikuwa na mawasiano na rubani, then tunaambia rubani wote wamefariki, hapo maswali ni mengi kuliko majibu.

Mambo mengine ni ya kuacha tu, ukitaka kuyajua yatakuletea shida.
 
Pole nyingi kwa wafiwa.
 
hii ajali inauma sana.
 
Black box itakwambia maongezi ya rubani na waongoza ndege na mda wa ndege kuanguka siyo namna uokozi ulivyofanyika
 
Black box itakwambia maongezi ya rubani na waongoza ndege na mda wa ndege kuanguka siyo namna uokozi ulivyofanyika
ningekuwa Rais wa nchi kitengo cha uokozi na maafa ningekivunja jana hiyo hiyo.
 
hii ajali inauma sana.
Sana! Sana! Sana! Ila sisi binadamu tuna roho za aina ya kipekee sana, yani wengine wamejitolea kuokoa kwa kutumia zana za jadi mtumbwa wa mbao hauna hata 4WD na mishipi ya kuvulia samaki kuvuta ndege huku hawana akili yoyote ya darasani ya uokozi alafu walio soma wanakuja wanakaa pembeni na uniform kabisa wanaangalia tukio kama sisi wengine tulio mbali tunavyo waona kwenye tv
 
Black box itakwambia maongezi ya rubani na waongoza ndege na mda wa ndege kuanguka siyo namna uokozi ulivyofanyika
Hatuhitaji taharifa ya tuliyo ya shuhudia wenyewe tunahitaji taarifa ya kabla ya uokozi ndio tutabaini ni uzembe au mechanical failure na kama ni uzembe ni wa nani awajibishwe! Mf unaweza kuta chombo kilikua na hitilafu za mara kwa mara, au imetokea tu itilafu na taharifa zimewahi kufika ila mirejesho ikawa ya kusua sua n.k n.k sijui umeelewa
 
Subiri sasa maana naona shida ni wewe kutokuwa na subira
 
Nimepoteza shemeji yaani mke wa jamaa yangu kwenye hii ajali. Amefariki yeye na dada yake
Ni tragedy
 
Kila Kifo hakikosi sababu,Wapumzike kwa Amani Marehemu wote.
 
Unajua hiyo mpaka na watengenezaji wa hiyo ndege wawepo- watakuwa njiani sasa
Tena hao ndio wazuri laziwa wata leak footage tu maana hawatupendi kabisa! Adui wa adui yako ni rafiki
 
Tena hao ndio wazuri laziwa wata leak footage tu maana hawatupendi kabisa! Adui wa adui yako ni rafiki
“OBJECTIVE OF THE INVESTIGATION

The sole objective of the investigation of an accident or incident shall be the prevention of accidents and incidents. It is not the purpose of this activity to apportion blame or liability.”
 
Hatujawahi kuwa na kitengo cha maafa ya uokozi; hatujajifunza tangu enzi ya Mv Bukoba miaka zaidi ya 25 iliiyopita. hii nchi bado tupo analogia sana, kama kweli rubani alipiga simu kusema anaishiwa oxygen then amekufa - aisee kitengo hiki ni sifuri kabisa.
 
Tairi zingeshindwa fungua angerudisha ndege Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…