Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Huyo rubani mbona jana alitangazwa kunusurika, isipokuwa mwenzake msaidizi ambaye ni raia wa Kenya?

Iweje leo naye tusikie kadanja, mjanganyiko gani huu sasa?
Mzee wote marubani hatunao, ila after crush walikuwa wazima according to dogo yule mvuvi. kwa hiyo tungekuwa na system ya wokozi inayofanya kazi sawasawa nafikiri tusingepoteza watu namna hiyo. Kauzembe kamo ndani yetu watanania ifike pahala tukubali tu ukweli.
 
Wewe hiyo black box utaiona, ama walau kuthibitisha kisemwacho kua kimetoka kwenye black box ni cha kweli??

Ukweli huwezi kuujua kama huhusiki, utapigwa danadana mpaka uchoke
 
Mwenyezi Mungu ninayemjua mimi hawezi kubariki maafa ya wanadamu anaowapenda, kukubali mapungu pamoja na uzembe ni kitu kizuri ili kujifunza siku za usoni ili kisijitokeze tena.
...Meli ilipozama na tukasibiri Waokoaji Toka Afrika KUSINI hatukujifunza Kitu?...[emoji35]
 
...After CRASH!...[emoji57][emoji57]
 
Na alikua na nafasi nzuri ya kutua kawaida majini kuliko kutanguliza kichwa kama ana chumpa[emoji848]
 
Aseeehhh.... huzunii sana
 
Ume
Uzoefu ulimdanganya. Na matokeo yake akajua kafikia runway kumbe yupo kwenye maji. Ukungu huo.
ukisoma vizuri ni kwamba upepo ulikua unakinzana na ndege hivyo huwezi jua yote kwa yote Kazi ya Mungu haina makosa
 
Wewe hiyo black box utaiona, ama walau kuthibitisha kisemwacho kua kimetoka kwenye black box ni cha kweli??

Ukweli huwezi kuujua kama huhusiki, utapigwa danadana mpaka uchoke
Tutajua tu, muda hua unasema
 
Mbele pasingekuwa chini sababu mbele ndo huwa pepesi kwani hakunaga mizigo. Kuna kitu hatujui ni hitilafu au lah
Kuna kitu hakiko sawa, ile ndege kama angekosea kutua lazima pua ingekuwa juu
Kama sehemu ya nyuma ndiyo iliwahi kugusa chini (maji) ikingali kwenye mwendo, lazima kichwa kichupie na kuanza kuzama kwanza.
 
Mbona unasema KAUZEMBE? Ni uzembe mkubwa wa kutisha tena wa kiwango kisichovumilika.
 
Maelekezo huwa unapewa Toka marubani wa chini,baada ya kuangalia anga, tatizo ni kitu cha ghafla
 
RIP kwa wote waliopoteza maisha.

Tunawapa pole waliopoteza wapendwa wao.

Majeruhi, tunawatakia afya njema na kuendelea kulijenga Taifa.

Ila, tungesikia mengi endapo hii ajali ingekuwa ni kwa zile 'Mbawa za Kilimanjaro'. IMEISHA HIYO
 
Wapumzike Kwa amani,mwenyezi Mungu awape matumain waliopoteza ndungu zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…