Poleni sana aisee Aneth ni college mate wangu pale UDSM alikuwa amenizidi darasa moja. Inaumiza sana kwa kweli, kuna picha moja nimeona yupo na mumewe na wanae sijui wana hali gani huko walipo. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu hawa mahala pema peponi.Nimepoteza shemeji yaani mke wa jamaa yangu kwenye hii ajali. Amefariki yeye na dada yake
Ni tragedy
Nauliza tu hivi haiwezekani kama ameshindwa kutua akageuza kuelekea mwanza au dar?Kuna uzi unaelezea sababu ya ajali sio hali ya hewa bali ni tairi zilishindwa kufungu ana kutaka maelekezo akalazimika kuzurula huku akingoja maelekezo, anadai baada ya kuzunguka mda mrefu akahofia wese kukata ikabidi wamuelekeze akatue ziwani timu ya uokozi ipo tayari inamfuata, ndugu yetu akajiamini akaenda kuchumpa na maji yalivyo shida ikawa imefika car wash! Kilichofuata mpaka wanatua wote walikua salama na bado walikua wanawasiliana wakati tayari wakiwa salama salmini yaliyo fuata wote tumeshuhudia ss na huyu ndugu yetu anatuambia tatizo lilikua hali ya hewa wapi na wapi
Uko sahihi alitakiwa arudi mwanza tho wanasema alihofia kuishiwa mafuta, hivi na ndege wanaweka mafuta ya bajeti? Kweli?Kama ni hivyo basi bado kuna shida sana. Kama alishabaini tairi hazifunguki, basi hapakuwa na sababu kubwa ya kendelea kuzurura juu kwa juu, uamuzi mzuri ulikuwa ni kurudi mwanza penya uwanja mkubwa na vifa zaidi. Muda wa kutoka bukoba kurudi mwanza ungetosha mwanza kujiandaa, na hao ndiyo wangemwambia tua sehemu fulani ndipo tumejiandaa kwa uokozi. Wanamwelekeza atue bukoba eti wameshajiandaa - Huo ni utani
Shukran mkuu.Poleni sana aisee Aneth ni college mate wangu pale UDSM alikuwa amenizidi darasa moja. Inaumiza sana kwa kweli, kuna picha moja nimeona yupo na mumewe na wanae sijui wana hali gani huko walipo. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu hawa mahala pema peponi.
bado nauliza swali, kama Rubani angeamua kurudi Mwanza ama kutua uwanja wa Magufuli Chato au Kahama asubiri hali ya hewa itengemae hilo lisingewezekana?
kuna muda sisi tulitoka Mza - Ngara, hali ya hewa ikawa mbaya balaa Ngara, ikabidi turudi Mwanza - baada ya masaa 3 tukarudi tena - ni gharama ila unaepuka ku risk.
Kama ni hivyo basi bado kuna shida sana. Kama alishabaini tairi hazifunguki, basi hapakuwa na sababu kubwa ya kendelea kuzurura juu kwa juu, uamuzi mzuri ulikuwa ni kurudi mwanza penya uwanja mkubwa na vifa zaidi. Muda wa kutoka bukoba kurudi mwanza ungetosha mwanza kujiandaa, na hao ndiyo wangemwambia tua sehemu fulani ndipo tumejiandaa kwa uokozi. Wanamwelekeza atue bukoba eti wameshajiandaa - Huo ni utani
Ndugu mnapandaje chombo kimoja?Nimepoteza shemeji yaani mke wa jamaa yangu kwenye hii ajali. Amefariki yeye na dada yake
Ni tragedy kubwa
Siyo kila mmoja ni muelewa wa hii ishu lakini wachaga wanapoenda kupeleka mikate Kilimanjaro unakuta familia mbili kibao zimerundikana ndani ya mabasi yanayoenda hukoNdugu mnapandaje chombo kimoja?
inauma sana sana, sema tu hatuwezi ku-reverse na ndege ikarudi juu kisha tukasahihisha. Waongoza ndege yawezekana hawakumpa taarifa ama ushauri mzuri rubani, kumbuka rubani kabla ya kufanya uamuzi wake wa mwisho ni lazima awasiliane na uongozi wa uwanja wa ndege.Huenda alipiga hesabu akaona mafuta yaliyobaki kwenye Tank yasingetosha kufika Mwanza, akalazimika kutumia Uzoefu wake ili kutua...
Anyway, R. I.P Wahanga wote..
Sijasema kabila moja kupanda chombo kimoja. Ninasema ndugu wa familia moja kupanda chombo kimoja.Siyo kila mmoja ni muelewa wa hii ishu lakini wachaga wanapoenda kupeleka mikate Kilimanjaro unakuta familia mbili kibao zimerundikana ndani ya mabasi yanayoenda huko
Naona kule kwenye maji alikua sawa ni vile mambo yakaenda kienyejiNauliza tu hivi haiwezekani kama ameshindwa kutua akageuza kuelekea mwanza au dar?
Binafsi, Ile habari kwamba ndege matairi yaligoma kutoka naona Ina mashiko, na itakua ndio sababu kubwa ilimshawishi rubani kutua kwenye maji.Binafsi, Ile habari kwamba ndege matairi yaligoma kutoka naona Ina mashiko, na itakua ndio sababu kubwa ilimshawishi rubani kutua kwenye maji.
Ni kawaida sana rubani kuahirisha kutua au kwenda kutua uwanja wa karibu inapotokea Hali ya kewa kuwa mbaya.
Hakuna Utaratibu wowote wa kwamba Ndege ikishindwa kutoa matairi basi ikatue kwenye maji, never. Ndege ikishindwa kutoa matairi inatakiwa itue Airport pale pale, labda tu, kando ya Runway kwenye majani. Kwenye Maji ndio mbaya zaidiKuna uzi unaelezea sababu ya ajali sio hali ya hewa bali ni tairi zilishindwa kufungu ana kutaka maelekezo akalazimika kuzurula huku akingoja maelekezo, anadai baada ya kuzunguka mda mrefu akahofia wese kukata ikabidi wamuelekeze akatue ziwani timu ya uokozi ipo tayari inamfuata, ndugu yetu akajiamini akaenda kuchumpa na maji yalivyo shida ikawa imefika car wash! Kilichofuata mpaka wanatua wote walikua salama na bado walikua wanawasiliana wakati tayari wakiwa salama salmini yaliyo fuata wote tumeshuhudia ss na huyu ndugu yetu anatuambia tatizo lilikua hali ya hewa wapi na wapi
labda tu, kando ya Runway kwenye majani.i
Binafsi, Ile habari kwamba ndege matairi yaligoma kutoka naona Ina mashiko, na itakua ndio sababu kubwa ilimshawishi rubani kutua kwenye maji.
MKuu tairi huwa hazitolewi ndege ikiwa inakaribia kugusa runway...zinatolewa mapema kabisa ndege ikiwa angani huko ili kama zikigoma kutoka rubani hasishushe ndege....ishu hapa rubani alitaka kutumia uzoefu kushusha ndege katika mazingira ambayo hakutakiwa kufanya hvyo
Exactly, tairi zinafunguliwaga mapema sanaBinafsi, Ile habari kwamba ndege matairi yaligoma kutoka naona Ina mashiko, na itakua ndio sababu kubwa ilimshawishi rubani kutua kwenye maji.
MKuu tairi huwa hazitolewi ndege ikiwa inakaribia kugusa runway...zinatolewa mapema kabisa ndege ikiwa angani huko ili kama zikigoma kutoka rubani hasishushe ndege....ishu hapa rubani alitaka kutumia uzoefu kushusha ndege katika mazingira ambayo hakutakiwa kufanya hvyo