Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
shid ipo wap sasa? Hata ivyo si Kuna tofaut ya Rais na wazir mkuu? Na pili kila mmoja si ana uraia wa nchi yake?majaaliwa ni mweupe kichwani kama bosi wake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tanzania ni taifa tofaut na taifa lolote Afrika mashark ,Tena viongoz weled na wenye hofu na Mungu na wanao mcha Mungu sana
Mkenya wa kawaida huwezi fananisha na Mtanzania wa Kawaida. Mtu Kama Samia, kwa Kenya hasingeweza kupata hata nafasi ya ubunge achilia mbali umakamu wa Rais.Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.
Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.
#Goodmorning🇵🇹
View attachment 3110275
View attachment 3110276
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
andika vizuri kwanza mkuu nisome upya kisha nikujibu. samahani kwa usumbufu!Sasa
shid ipo wap sasa? Hata ivyo si Kuna tofaut ya Rais na wazir mkuu? Na pili kila mmoja si ana uraia wa nchi yake?
Sio, kweli ni mweusi kichwani kwa msaada wa super black😂😂😂majaaliwa ni mweupe kichwani kama bosi wake.
Teh teh teh 😃 😃 noma sanaDocument iliyosoma UN ingetumwa kwa Whatsapp,ili wajumbe waipata tunge save millions of money, na pesa hiyo ingeweza kusaidia kununua vitabu watoto wasome.
Wewe mwenye akili kwanini usichukue nafasi yake?majaaliwa ni mweupe kichwani kama bosi wake.
Tutakua watumwa hadi lini? kwanini tusijikombowe kutoka mfumo huu, wa kimagharibi, kwanini elimu yetu? Tizameni mataifa kama china, japan, na korea yameendelea bila wao.Dunia ni kijiji sasa hivi kwa sababu ya utanndawazi.
Wewe endelea kung'ang'ania kiswahili ili uishie kufa njaa
Waziri asiyejua kutofautisha R na L.Jenista mhagama alisoma speech yote alikuwa anakosea kila herufu,eti ndio pisi ya Taifa,yaani ukija upepo karatasi ikipepea ni kilio.
Wa TZ ni bongolala
,njooni mnikamate niko Kibera,Nairobi
Somesheni watoto wenu kiingereza. Over...Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.
Baadae nikaenda ya Ruto. Jamaa ile ku-adress tu inakuvuta attention usikilize jamaa video ipo pale chanel ya UN kaongea dakika 29 na sekunde kazaa hajatoa kwa karatas.
#Goodmorning🇵🇹
View attachment 3110275
View attachment 3110276
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79
Now you can observe the difference between the elites.Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.