Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Pole sana sister, wewe mpe tu..... Kwa jinsi ulivoandika uzi wako ni either ushampatia au unakaribia kufanya maamuzi ya kumpatia. Hapa unatafuta tu support ya kuhalalisha iko kitendo.

Ukimpa atakifurahia ila pia atakushusha thamani mara 100 na kama hajakuoa usitarajie atakuja kukuoa..... Hizi akili zetu wanaume tunazijua wenyewe
 
Unafikiri kwanini hajakuomba wewe akaenda kwa jirani? Ni kwsbb anataka kukutunzia heshima na akuone wa thamani, sasa ukimpatia, hiyo thamani ataishusha na kukuona malaya kama malaya wengine wachafu.
 
Wewe sasa kama ni mimi why niogope kusema ni mimi??
Sio mimi. Kama unalazimisha sawa
 
Unafikiri kwanini hajakuomba wewe akaenda kwa jirani? Ni kwsbb anataka kukutunzia heshima na akuone wa thamani, sasa ukimpatia, hiyo thamani ataishusha na kukuona malaya kama malaya wengine wachafu.
Sio mimi na wewe acha kukaza kichwa. Ndo great thinker gani wewe
 
Back
Top Bottom