Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kama niwewe nikuonye kabisa usije jaribu kumpa hicho anachopewa huko linda heshima yako.Alee watoto wake
Sawa
Wewe nae huelewi NINI sasa.Dada kama niwewe nikuonye kabisa usije jaribu kumpa hicho anachopewa huko linda heshima yako.
Utampa na bado ataendelea huko kwa hiyi uamuzi ni wako.
ChaiMe Sina mume wala boyfriend
na ubwabwa😂Kisamvu kikilala ni kitamu balaa
Uko wapiChai gan sasa dear?
Me Sina jaman
Wewe sasa kama ni mimi why niogope kusema ni mimi??Pole sana sister, wewe mpe tu..... Kwa jinsi ulivoandika uzi wako ni either ushampatia au unakaribia kufanya maamuzi ya kumpatia. Hapa unatafuta tu support ya kuhalalisha iko kitendo.
Ukimpa atakifurahia ila pia atakushusha thamani mara 100 na kama hajakuoa usitarajie atakuja kukuoa..... Hizi akili zetu wanaume tunazijua wenyewe
Sio mimi na wewe acha kukaza kichwa. Ndo great thinker gani weweUnafikiri kwanini hajakuomba wewe akaenda kwa jirani? Ni kwsbb anataka kukutunzia heshima na akuone wa thamani, sasa ukimpatia, hiyo thamani ataishusha na kukuona malaya kama malaya wengine wachafu.