Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
NB.elemi unaweza kuipata hata kama hujaingia darasani inalielewa hilo?
tena nyie wasomi uchwara ambao sio mainjinia nina vijana wangu wamejifunza elimu ya mtaani wamewaacha mbali sana kimaendeleo na nyanja zote kiujumla.
mumebaki na ujuaji usio na faida
ufundi sio matako broo.ni inshu makini sanaNB.
Mtu mwenye elimu ni rahisi kujifunza mambo mengi kuliko maamuma.
Hao mafundi wako NIKISEMA nijifunze wanacho kifanya miezi sita ni mingi kua mkweli na usi underrate THE POWER OF EDUCATION.
nilikuwa bize na majukumu.unafanya kazi gani itaje nikuambie kuwa unaongea kweli au unadanganya. au wewe ni injinia mwenzangu?Unaona sasa, ndio maana hata sikutaka kujua unalipwa kiasi gani. Sasa hiyo pesa ndio unapigia watu kelele hapa?
Siwezi kusema nalipwa kiasi gani lakini kwa vile una makelele sana, nalipwa zaidi ya hiyo pesa kwa mwezi.
Ila kwa sababu bado nimeajiriwa, hata kwa upande wangu namheshimu sana mtu aliyejiajiri au anaefanya mambo yake.
nilikuwa bize na majukumu.unafanya kazi gani itaje nikuambie kuwa unaongea kweli au unadanganya. au wewe ni injinia mwenzangu?
Jidanganyeufundi sio matako broo.ni inshu makini sana
Bachelor's degree combining Artificial Intelligence, Blockchain Technology, and CybersecurityLengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi wazuri, kusema ukweli ufundi ndio unanipa hela kuliko kazi niliyoajiriwa nayo ya uwalimu.
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?
degree tatu za taaluma gani mbona hutaji? itakuwa za vishazi huru na kilimo hizo hata ukiwa nazo kumi hazisaidii kitu😁😁Jidanganye
Bare in mind, under determination one can turn a desert into ever green forest.
Usije sema huja ambiwa hapa Nina degree TATU.
Nimesoma fani zaidi ya tano.. hapa ukinichukua ukaniweka pilot/ rubani miezi sita nakua PILOT/ RUBANI
Labda nyinyi akili zenu nzito sisi wengine ni WEPESI WA AKILI ( WWA) Mfano Mimi issues za IT nimeanza udogoni kabisa miaka ya 90's mwanzonii
Ufundi gani utanishinda nikiamua kujifunza 😁
Kama upo utaje hata mbususu/ papuchi nazichakata vyema
wapo ambao hawajaingia darasani lakini wameelimika kukuzidiKwanza, siwezi kudanganya mambo madogo kama haya. Pili, kujitapa kwa mshahara sio afya na ndio kitu nimekikataa tokea awali.
Mie nimeajiriwa, sio mhandisi mwenzako kwa sababu sijasoma masomo kama yako, ila nimeelimika.
wapo ambao hawajaingia darasani lakini wameelimika kukuzidi
unacho kifanya wanakifanya vizuri zaidi yako na wanapesa vibaya mno sawa dactari?😁😁
Kama ulishindwa kuvuka kidato cha sita usijadili chochote namimi mana huna chakuniambiaSasa nani aliyeleta mambo ya kujitapa na mishahara kama sio wewe? Kuna mahali nimesema nna pesa kuliko watu wote? Kuna mahsli nimeandika nimesoma kitu gani?
Mimi ni kidato cha sita, usiumize sana kichwa.
Hayo ya udaktari yametoka wapi tena?
Bakia kwenye mjadala acha kubahatisha mambo na kutoka nje ya mada.
Mwenye kuleta huu uzi ana nia njema isaidie wengi kujua ni degree gani zina manufaa? Wewe unaleta tambo za mishahara na kubeza masomo waliosoma wengine.
Bora kwakweliKijana wangu alichaguliwa kwenda A-Level, kisha akachaguliwa tena Arusha Tech kuchukua Electrical and Biomedical Engineering....
Nilimshauri atemane na A-Level
Eti vizinga kwa wagonjwa hahahaHawa ni walimu waliochangamka.
Wanaishi kwa Mikopo na vizinga kwa wagonjwa ila kwa hii hali ya serikali na taasisi zake kuhamia kielektroniki.Muda si muda hawa maskini wataanza kutoa milio😄😄😄vielfu vilaki watavisikia kwenye malipo ya risiti no CASH!!!
Kama ulishindwa kuvuka kidato cha sita usijadili chochote namimi mana huna chakuniambia
Akili Yako inatakiwa iñyumbulike kama maji uki yaweka kwenye kibuyu, mtungi , ndoo, kudumu yanafuatadegree tatu za taaluma gani mbona hutaji? itakuwa za vishazi huru na kilimo hizo hata ukiwa nazo kumi hazisaidii kitu😁😁
narudia tena kama wewe sio engineer umeenda shule kupoteza muda