aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
engineer gani anasomea veta?Akili Yako inatakiwa iñyumbulike kama maji uki yaweka kwenye kibuyu, mtungi , ndoo, kudumu yanafuata
Alafu engineer ambao hawawezi hata kufanya copy & paste innovation yoyote waziri MAJALIWA MAJALIWA ana waambia mrudi vetaaa, 😁
Pole sana Mimi na wewe tupo ligi tofauti jinsi navyo yaona haya maisha
UJIFUNZE kusoma kwa utuo.. line kwa line..engineer gani anasomea veta?
Doctor mbona unahasira sana?UJIFUNZE kusoma kwa utuo.. line kwa line..
Hao engineer wasio weza hata kutengeneza Dynamo
Shubamiti
Mimi mzee alikua engineer tanesco kapokea vijana na ma degree mabomu... Mzee mpaka akawa ana shangaa Hawa vijana huko vyuo TZ walisomea na wanafunzwa nini
Acha kushupaza shingo.. elimu ipo kitaa achana na hayo makaratasii
😁Doctor mbona unahasira sana?
ndiomana nasema kuna visomo vingine kutoboa ni kazi sana😁
Nadaiwa vikoba, pango, na rejeshoo.. huu mshahara naona haunitoshii
Ila mwingine anatanani awe Mimi ila Mimi mwenyewe sijitamani
Mbongo bwana MPE habari anayo taka kusikia..ndiomana nasema kuna visomo vingine kutoboa ni kazi sana
doctor mwenye uchumi wajuu umemuona wapi?Mbongo bwana MPE habari anayo taka kusikia..
Mzee Mimi nipo uchumi wa kati juu 😁
Hakuna engineer hapoAkili Yako inatakiwa iñyumbulike kama maji uki yaweka kwenye kibuyu, mtungi , ndoo, kudumu yanafuata
Alafu engineer ambao hawawezi hata kufanya copy & paste innovation yoyote waziri MAJALIWA MAJALIWA ana waambia mrudi vetaaa, 😁
Pole sana Mimi na wewe tupo ligi tofauti jinsi navyo yaona haya maisha
Haaaahaa ☺️
Hawa Ndio Vilaza magufuli alikuwa akiwatumbua wanamuona mbaya. Sasa kama mtu kuandika hajui na bado anajitapa kuwa ni injinia. Sasa huko kazini sijui anainjinia nini.Kukalili ndio nini? Huyo rais wako analipwa pesa ngapi na amesoma nini? Kuuliza mpaka uniquote ndugu msomi?
Anasema analipwa mil 7+ huyu sina uhakika hata anajua anaongelea nini! Ukute yuko field tayari anajiaaminisha atalipwa hizi pesa, maana ana makelele mno😅Hawa Ndio Vilaza magufuli alikuwa akiwatumbua wanamuona mbaya. Sasa kama mtu kuandika hajui na bado anajitapa kuwa ni injinia. Sasa huko kazini sijui anainjinia nini.
MAkampuni yetu hayajali ishu za data, akipata hata wa4 wanaojali anapga hela kwa kusuka mfumo na kuusimamia kwa mwezi hata 400k kwa kila mteja muda huo anapga hata boda mtaan na deal zake zinaenda.Kwa kutengeneza mfumo wowote unao solve Tatizo lolote kwenye Jamii