Nakubali mkuu, ni fahari sana watoto kuvaa viatu vya mzazi na kufuata nyayo zake, hasa kama mzazi alikuwa anafanya mambo mazuri na makubwa.Mzee sidhani kama atakua mgumu kiasi hicho, homeschooling inamhusu. Mzee sisi alikuwa anamlipa ticha kuja nyumbani kutufundisha, kwahiyo hata mimi napita humo humo
Et ndo kazi content creator? Eeh watoto wangu wajiandae kwanza kuingia jkt wapate ukakamavu wakitoka huko ndo tutaelewanaSister umeongea jambo zuri mkuu, bora yetu millenials na Gen Z, hawa Gen Alpha & Gen Beta wanatisha wengi wao utasikia wanapenda ucontent creator mitandaoni.
Dah hii sio hakiHeshima mbele wakuu.
Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.
Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
Mtoto kumchagulia kazi ya kufanya baada ya makuzi au kufanya kazi nayoifanya hii haiko sawa chiefKivipi mkuu?
Kama bado jitahidi uoe manzi mwenye akili timamu ili mtoto atoke mwenye akili pia.Ambao hatuna watoto tunacoment wapi?
Afanye kazi yoyote ila asijihusishe na mambo ya Ujambazi/Uhalifu..Heshima mbele wakuu.
Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.
Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
Mimi sijui mwanangu bado yupo kwenye korodani zanguHata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
NaamHakika mkuu muhimu kiwe halali na chema.
Eti Nusratt ? Unasemaje.Ungependa mwanao afanye kazi unazozifanya kwa sasa, au ungependa iwe vinginevyo?